Wakuu nahitaji msaada wa nafasi ya form one government school iwe Arusha au Moshi na iwe shule ya vipaji maalum boarding...kijana wangu Wa kiume kafaulu vizuri kwa jumla ya max 208 lakini...
jamani, nina shida ya kupublish kitabu, kimeshaandikwa na kueditiwa, tatizo natafuta kampuni ya kuchapisha vitabu itakayofanya kwa bei ya chini kabisa, kama kuna mtu anayeyafahamu makampuni hayo...
Ndugu wanabodi Sisi kama WATANZANIA akili yetu imehamia kusomesha watoto wetu shule za private wengine wanaziita international. Mimi juzi nilikuwa benki kila mmoja niliona akiwa bize kujaza fomu...
Kila wakati nikienda Tanzania kuna vijana waliomaliza shule wananiuliza wafanya nini ambacho ni future. Jibu langu kama unataka urahisi na kuweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani jifunze...
jaman naomben kuuliza wale walioomba ualimu mwez uliopita ambapo ded line ilikuwa dec 30 bdo hayajatoka na mi lin yanaweza kuwa tayr kama bdo mwenye fununu na uelewa atujuzeee jmniii!!!
Mwanafunzi wa mwaka wa tatu college of education afariki dunia akiwa anaogelea kwenye swimming pool ya hotel moja hapa mjini Dodoma. Alikuwa akisherekea sikukuu ya X-Mass na marafiki. R.I.P Brother.
Habare zenu mm ni kijana ambae npo chuo ngazi ya chet wakubwa heshima kwenu wadogo wenzangu mambo vp naombeni ukweli kuhusu hili eti unapomaliza diploma unapotaka kujiunga na bachelor unapotaka...
Habari wana jamvi?!Naomba kujua kama inawezekana kubadiri kozi,nina jamaa yangu amesoma CERTIFICATE IN GENERAL AGRICULTURE, anataka kwenda DIPLOMA ila hataki kilimo anapenda MAENDELEO YA JAMII...
Wana jamvi ninapenda kulalamikia wizi unaofanywa na Tumaini University Arusha (Makumira).
Ilikuwa hiv; mwaka jana kuna dogo alichaguliwa kuanza 1st year, bahati mbaya ni yatima, Mungu si Athumani...
Orodha hii ni ya vijana waliochaguliwa kujinga na kidato cha kwanza 2015 waliotokana na shule za msingi zilizoko katika wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaama, katika tovuti ya manispaa. Bofya...
Nahtaj kujiunga na chuo hiki ili nikachukue mining exprolation au mining engeneer,cjafanikiwa kukipata net hata niliposaka google.
Naomba mwenye details anisaidie kama za point znazopekelewa hapo...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22, nimezaliwa Mwanza. Mama alifariki nikiwa na miaka 5 na baba yeye hata simjui maana niliye kuwa nimeambiwa kuwa ni baba nilipomfuata aliiataa na kusema mimi...
Mods tafadhali naomba kama kuna uwezekano nayo tukawa tunaweza kuyapata humu...naamini kuna watu wanaweza wakawa na access nayo in advance walau tukawa wa kwanza kuyapata.
Ni hilo tu
Katika Mkoa wa Kagera wenye Halmashauri za Wilaya (8) jumla ya wanafunzi 49,804 waliandikishwa kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (Darasa la VII) mwaka 2010, kati ya hao walioandikishwa...