Nina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo?, nipo Dar es Salaam nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada(ajue kusoma na...
Kuna hili ambalo sikubaliani nalo labda sijui au ni kwa kutokuelewa labda ningepata wachangiaji nao wakachangia.Mtoto anafaulu darasa la saba anapata alama ya A masomo yote-Grade A. Na wengine...
Are you aspired to be a CPA (T)? Here is the answer, welcome to Aspire accounting firm.
We offer Review classes for foundation, intermediate and final stage, Welcome all at Maktaba Primary...
Habari zenu humu ndani, naomba mwenye majina ya waliochaguliwa ualimu mwaka 2012 pamoja na mwaka 2013 naomba ayaweke au hata akiweka link atakuwa amenisaida sana.Niwatakie jioni njema
Siku ya kwanza kujoin UDSM akili iliniambia sasa upo kwenye center of educational excellence, chuo ambacho kimsingi uhitaji kutamka jina lake, we sema tu nipo chuo kikuu inatosha kumaanisha chuo...
Motokeo ya form 4 2014 lini?na pia wataripoti shule lini!? kwani kuna wanaotaka kusoma kozi ya kompyuta miezi mitatu ila sasa wanapata wasiwasi kama mda utaruhusu ,nawasilisha wakuu ;.
Habari,Tafadhali naomba ushaur wenu,napenda kuwa mwandishi wa habari hapo baadae.Nilijiunga na Young Reporter Academy ya South London kupitha Online kama reporter wao kutoka tanzania.baada ya...
Habari ya kazi bandugu, naomba kuuliza kwaanayejua kituo kizuri kinachotoa review ya CPA kwa dar es salaam
me natarajia kuanza final stage, naomba msaada wenu,
kazi njema
Zifuatazo ni sifa za mwalimu mpya 2014;
1.hana kitanda.
2.anatandika chini
3.ana sufuria mbili
4.anatumia kuni au mkaa kidogo kupikia
5. Hana meza 6.
Hana viti.
7.ni mzigo...
Binafsi sijafurahishwa na sijui kitu gani kingine cha kufanya katika nafasi niliyonayo kama mwanafunzi kuzuia jambo hili kutokea tena zaidi ya kuandika hapa. Leo nimeshuhudia Lecturer wa hapa...
Habari wadau,
Naomba kufahamishwa umiliki wa hii college. Ni ya serikali au ni ya mtu/watu binafsi?. Naizungumzia college iliyopo kule UK ingawa ina matawi sehemu zingine kama Austarial n.k...
Habari wakuu,
Nina ndugu ndio amewasili hivi jijini Dar hapa na yupo yupo tu. Sasa sipendi tu awepo awepo hapa nyumbani, nimeona nimtafutie kitu cha kufanya chenye manufaa nae. Hivyo nimeona...
TANZANIA IMEANZA KUNG'AA KATIKA MEDANI YA ELIMU SHULE BORA AFRIKA BAADA YA SHULE MBILI KUWA BORA KATI YA 50 BORA.
SHULE HIZO NI.
30. INTERNATIONALA SCHOOL MOSHI
34 INTERNATIONAL SCHOOL OF...
Habari wanafm! mm ninamdogo wangu alimaliza degreevya ualimu na aliajiriwa sasa anataka kuchukua mastaz hiyo hiyo ya edction so ni coz gani achukue? but mbaya zaidi anambia hajui kama atakubaliwa...
Msaada kwa anae jua bum linatoka lini kwa waliofanya transfer """allocation ilishatoka tangia mwaka jana mwezi wa 11 kabla first year hawajapata bum la kwanza ila mpaka saiv wamepata la pili...
Nilianza kazi 2008 na 2011 niliondoka kusoma bila ruhusa. Nimemaliza Bachellor mwaka jana na niliripoti kituoni tangu mwezi wa8 na mshahara nikiwa masomoni ulifutwa.
TSD walinipa shitaka la utoro...
Hapa juzi kati, nilidownload document iliyotolewa na TCU inayoorodhesha vyuo vya Tanzania na degree zinazotolewa na vyuo hivyo. Nilichoshangaa ni kwamba ndani ya document, LLB ya UDSM ni ya miaka...
Katika hotuba ya kufunga mwaka Mh.Jk amesema kabisa kwa sada Serikal haiitaji walimu wa arts wametosha mwaka jana wanaitajika walimu wa sanayansi tuuu kwaiyo kwa wale waluosoma UALIMU na wanaosoma...