Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wana jamii me ninasoma combination ya HGE na o level nilisoma science nikapata Phyiscs D Chemistry D Maths C Arts ndo nilifaulu ila ndoto zangu ni kusoma computer science je KUNAUEZEKANO...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wapendwa hivi inawezekana mwanafunzi kuhama toka taasisi moja kwenda nyingine akiwa ameshasajiliwa? (pengine ameshasoma semester moja au mwaka kabsa) If yes naomba procedures Nb. Nasoma...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu anasoma form six, natafuta scholarship ya kusoma doctor of medicine baada ya kumaliza masomo yake ya secondary.nimajaribu kutembelea tovuti mbalimbali nimeshindwa kujua nichuo...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Kwa anayefahamu anisaidie. Nina bed sc biology. Ninaweza kusoma masters ipi katika science
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ni chuo kipi kinatoa coz ya mwaka mmoja nimesoma art form 4 na 6 nataka kutumia cheti cha form 4 nina three ya 25 ni d bios b engl na f maths form six nina three pia ya 13 nilimaliza form...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wataalamu naombeni mnipe ushauri juu ya soko na ajira kwa mtu anayesoma Automobile engineering
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF. Nina mdogo wangu kafanya interview ya kujiunga na VETA iringa na kwa sasa niko nae mbeya naomba msaada kwa wanaojua jinsi ya kuyapata matokeo kwenye internet au kwa njia nyingine...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika hotuba yake ya shukrani ambayo pia ilieleza mikakati ya serikali ya awamu ya nne katika kipindi kijacho cha miaka mitano, Rais Kikwete alisema kuwa atajenga makao makuu ya CCM ambayo...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Napenda kusoma MA Literature. Napataje scholarship?
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Wadau tujadili hizi shule hasa binafsi kuweka alama za wastani ambazo kama mwanafunzi asipofikishwa anatakiwa kurudia darasa au kuondolewa shule. Hii inasababishwa na hali ya shule kuondoa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya darasa la Saba mwaka 2014 ambayo yameonyesha ongezeko la ufaulu wa asilimia 56.99 tofauti na ufaulu wa mwaka jana wa asilimia 51.6...
3 Reactions
76 Replies
173K Views
Please am in of a help on how to write the concept note of a Research!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta mtu (watu) anayejiandaa kwa mitihani ya bodi ya manunuzi na ugavi PSPTB stage 3 kwa mwezi wa MAY 2015 ili tupeane kampani ya kutafuta notes na kusoma + ku discuss pamoja...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Niaje wakuu, nipo kwenye dilemaa nisome tele UDOM au I.T UD but I kinda like tele kidizain, sijui ipi mziki mnee na ipo markateable,naombeni ushaur wenu wakuu.........:confused2:
0 Reactions
13 Replies
4K Views
wadau na wapenzi wa somo la bookkeeping naomba maoni yenu juu ya somo hili
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, kwa matokeo ya CSEE 2012 mimi nina C, D, D, D, F, F, F. Malengo yangu nije kuwa mwanasheria nguli. Nijulisheni chuo kizuri cha sheria kinachoweza kuchukua alama hizi na ada zake...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomba kuelekezwa kama kuna mtu anajua jinsi ya kudownload kitabu chochote mtaandaonii au kma kuna njia ya kupata softcopy ya kitabu husika anisaidie au kama kuna website naomba anipe
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Nimeresearch sana na kusema kweli majirani zetu wakenya wako mbele yetu sana kwenye sector ya geothermal energy. Tanzania Geothermal Development Company ndio kwanza inaanza na haina hata website...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
:cheer2:Many people fear the concept about disability more than disability itself. Other people have justified themselves to have distanced themselves from disability. Talking about practical...
1 Reactions
2 Replies
811 Views
Ndugu zangu naomba ushauri wenu hasa mlio kwenye field ya uhandisi, kuna ndugu yangu amemaliza form six na naona hajapata credit za kumpeleka chuo direct so ninafikiri kum-support asome kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom