Ndugu zangu wanajamii nilifanya maombi chini ya early scholarship offer nisome degree ya B.COM katika hiki chuo na baada ya wiki3 wamenijibu wamenikubalia lakini sio full scholarship nijitegemee...
ninayo furaha kuwatarifu kuwa Mimi ni mwalimu wa kingereza isimu (linguistics) pamoja na fasihi ya kingereza (literature). nimehitimu chuo kikuu cha dodoma na kufaulu vizuri kabisa.hivyo kama kuna...
Nimeshangaa sana leo baada ya wageni kutoka TAMISEMI kufika katika shule ya sekondari BUNDA, kilichotokea ni mkuu wa shule kulazimisha mlizi kukata umeme ili wageni hao wasifanye kazi yao...
Nimesoma taarifa kwenye magazeti ya leo kuwa Naibu Waziri TAMISEMI Mh. Kassim Majaliwa ametangaza matokeo ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza shule za Serikali kwa mwaka 2015. Nimejaribu...
Ndg wana JF natumai mu wazima.Nahitaji msaada wa kupata fomu ya kuomba kutumiwa cheti toka nacte, wameniambi ipo kwenye website yao nimejarbu kuitafuta sijaiona, Ambae anaweza ipata anisaidie...
Pata elimu maana ni utajiri usiyo isha je, unahitaji kujifunza kiingereza cha kuongea na kuandika kwa wiki chache? Je, nyumbani kwako una watoto walio darasa la 4 hadi la 7 au form 1 hadi 4 na...
Jaman nilikuwa ninaomba nijuulishwe na wana jf kuwa eti hospitali ya mwananyamala daresalaam wanatoa shahada ya utabibu (udaktari ) yaan bachelor of doctor of madecine kama unafaahamu naomba...
Za sahizi wakuu wa JF? Kwa anaejua idadi ya social services kama shule, makanisa, misikitina na idadi ya wanaume na wanawake waliopo Kiwalani, naomba atupie humu...
Wanajamvi naombeni msaada wenu wa kupata shule nzuri maeneo ya DSM or Morogoro yenye sifa nzuri na iwe ni boarding tafadhari naombeni msaada wenu wa haraka.
poleni majuku wote wadau wa jukwaa hili hasa wale ambao ni procurement professionals.
Kwa ufupi,napenda kutumia nafasi hii kuwatafuta wote ambao wanajiandaa na mitihani ya chartered Institute...
Wadau habari za maandalizi ya kuupokea mwaka mpya
mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu (Ba.Ed 2014) chuo kikuu cha Dar es salaam, masomo ya Geography na language, ninatafuta kazi ya kufundisha...
jaman uchaguzi wa tahliso unafanyka mwenge na mpaka sasa raisi hajatangazwa sasa huyo mnampongeza kachaguliwa wapi na kachaguliwa na akina nan? please kama una taarifa tujuze.
Al madinah international university opening apply for university colleges
MR/ Mrs
Al madinah international university which win dependence Malaysian Ministry of Higher Education Malaysia...
Chinese Embassy in Dar es Salaam, Tanzania wanatoa schoolaships kwa vijana wanaotaka kwenda kusoma china. Kuna mtu yeyote anajua chochote kuhusu hawa jamaa. Ni wa kweli au ndio utapeli?
Habar, kumekuwa na ubabe unaoendelea halmashauri ya mkuranga na hili swala limekuwa mazoea, toka mwaka jana katika malipo wanapunguza siku moja moja.
Mfano mmesimamia siku saba, lakin malipo...
Mi kila siku najiuliza "kwa nini Tanzania ni maskini?' Na jibu sipati. Najiuliza kwa sababu naona ni kama watu wana majibu ya kila swali. Humu humu JF uliza swali lolote, hata liwe technical vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.