Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wadau tafadhali kwa yeyote anayeweza kunipatia sheria ya elimu ya mwaka 1978 na.25,anipatie kwa namna yeyote itakavyokuwa rahic kuipata. nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau naombeni mnishauri mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, na nilishindwa kuomba chuo kutokana na kuto kuwa na uamuzi sahihi wa kuchagua nini nikasomee.kwahiyo kwa yeyote anaye ijua...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Anayeijua historia ya mwanafasihi Joshua Madumla kama vile alizaliwa wapi, mwaka gani, amesoma wapi na vitu kama hivyo naomba anisaidie
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Danida Fellowship Centre (DFC) on behalf of Danida, Ministry of Foreign Affairs, Denmark, calls for applications for MSc Scholarships under the Building Stronger Universities Programme. The...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2014/2015 Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) anatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu yatakayoanza...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
wadau naomba kuulizia mtu mwenye kujua kama chuo hiki kimesajiliwa ama laa maana nahitaji kusoma pale isije ikawa nitapoteza muda!
0 Reactions
4 Replies
6K Views
napenda kuwapa pole wakufunzi wa chuo cha ualimu monduli kwa kazi kubwa walioifanya ya kufundisha kozi ya bridging kwa muda wa miezi mitatu bila kulipwa chochote. kozi kama kama hii kwa mujibu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
wanandugu za jioni.naomba msaada wa kufaamu ratiba mbalimbali za training kwenye fani tajwa hapo juu kwani mke wangu amepewa nafasi na ofisi yao mwakani kuhudhuria training lakini kwa shart...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, niliwahi kusoma kozi mbalimbali miaka ya nyuma kupitia hawa watu ila kipindi hicho ilikuwa kwa njia ya posta. sasa nilikuwa nataka kijana wangu asome tena na niliambiwa wako...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Jaman vp kwa wale mwaka wa pili walioomba mkopo this term,kuna chuo chochote ambacho kishatoa majina, ama mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu hili anijuze!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nili balance combination ya CBG vizuri ila nimefeli mathematics kwahiyo nilivyo fanya application katika shule kwa lever ya advance baadhi ya shule walinikubalia baadhi ya shule kama makongo...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
natafta shule ya kfundisha literature & history! kwa sasa npo dar es salaam. for more information call 0752358919
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mnijuze kwa hilo wana JF kwa sababu nimechaguliwa uko alafu sijui lolote kuhusu hicho chuo..
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Walimu nawauliza hasa Mkoba and company, mbwembwe zenu za kuandamana kupinga mabadiliko hovyo ya mafao ya kustaafu yalifia wapi? Kweli Ualimu na Walimu- anyway angalau mlijitutumua!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimepata Shavu la ajira kitengo nyeti katika kampuni ya wazungu(wafaransa kutoka Ubelgiji) ,wamenipa kazi ila wameagiza niboreshe kifaransa changu nilicho kikimbia Makongo Sec(2002/2005) kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Namba mwenye syllabus ya kozi za bodi ya ugavi anidondoshee jukwaani hapa maana nimeitafuta pasipo mafanikio.Asanteni
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Dear All, Mwezi uliopita tuliiona video moja hapa inayoonesha vipi watoto wanavyodhalilishwa mashuleni kwa kupigwa bakora. Wengi wetu tukasema kwamba mtoto Wakitanzania kama hujamchapa basi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za jioni Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tatu mwaka huu nlifanikiwa kutengeneza software ambayo nlitumia html,css,javascript na php na inahusiana na masomo ambayo imebase zaidi kwa shule...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Nimesoma mahali nikajifunza mengi, ningependa kama unapenda na wewe upitie.... 1.HAIJULIKANI DUNIA IPO UPANDE GANI MWA ULIMWENGU. A precocious child might write his or her full address as Main...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Nipo SIKONGE TABORA NATAKA KWENDA WILAYA YA NJOMBE,AU RUNGWE AU BUSOKELO. Kama upo tayari tuwasiliane 0787864236
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Back
Top Bottom