Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Helo. If you have graduate student loans, have you thought about refinancing to a lower rate? CommonBond allows you to consolidate your graduate (& undergrad) loans. They offer fixed and variable...
0 Reactions
1 Replies
811 Views
jf mi ni mhitimu wa shahada chuo kikuu, ila napenda kuimprove kingereza changu sijui wapi pa kujifunzia penye walimu waliobobea
1 Reactions
46 Replies
29K Views
IS A university degree a good investment? Many potential students are asking the question, especially in countries where the price of a degree is rising, as a result...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Taarifa zilizotufikia ni kuwa kuna wizi (wenyewe huupamba kwa kuuita ufisadi) unaoendelea Chuo Kikuu Dodoma ambapo wanafunzi wanaohitimu wamekuwa hawarudishiwi pesa zao za kukodisha jofo kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwalimu Daniel Urioh. Ninaomba WIZARA YA ELIMU iwe makini na wawekezaji katika secta ya elimu, hasa kwenye shule ambazo zinatoa msaada kwa watoto wakitanzania ambao familia zao hazina uwezo...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Mradi huu ambao uko katika mikoa minane hapa nchini umeanza kwa kutoa mafunzo mbalimbali kwa wadau anuwai kwa mikoa hiyo; lakini mradi huu unaonekana kama unafanya maigizo vile. Mfano walimu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wapendwa habari, naomba kujua shule nzuri za A Level zenye mchepuo wa Arts
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nina wazo la kuanzisha shule ya sekondary, nimeshajenga darasa moja tu, kwa sasa chekechea wanasomea asubuhi, na jioni pre-form tution. Je nitapateje fund kwa ajili kujengea madarasa 7 mengine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari! Naomba mnisaidie kupata jina zuri la shule. Shule ni ya sekondari kuanzia O'level mpaka A'level,dini zote (non-denominational),jinsia zote (co-ed),kutwa na bweni na ipo Bagamoyo mkoa wa Pwani.
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Mdogo wangu alipata matokeo haya hapa chini mwaka 2012: LULUMBA SS-SINGIDA-Ana four ya 27(IV 27) Physics=D Chemistry=D Biology=C Ukiacha VETA,Anaweza chuo chochote kingine...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habar wana jf ninaomba kufahamu hivi kwa chuo cha Ardhi university hakuna option ya mtu kuweza ku apply chuo moja kwa moja chuoni bila kupitia tcu,hii ni kwa wale walio maliza diploma kutoka vyuo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau, Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa baraza la mitihan Tanzania.Kwakweli kwa miaka miwili mfululizo sasa(2013&2014)wamejitahidi kutoa matokeo ya drs sa 7 mapema na...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
ni takribani mwezi mmoja na wiki kadhaa zimepita toka vyuo vya ualimu tanzania kuhama kutoka katika mtaala wa content based curriculum kwenda kwenye competence based curriculum, kwa mujibu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najivunia sana kusoma somo la Kiswahili katika ngazi ya elimu ya juu, tunakidharau Kiswahili lakini kiukweli hatukijui. Kama wewe unakijua vizuri Kiswahili naomba unijibu swali hili dogo, mobile...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu naomba kufahamu ni course ip? nzuri kwenda kusomea degree kwa mtu mwenye Diploma ya nursing anayetaka kuwa special na kitengo fulani?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello members kwa yeyote anaejua mchanganuo wa alama na madaraja kwa O-level na A-Level naomba aniwekee hapa. Kuna app ilikuwa na madaraja ya zamani sasa tunataka kui-redevelop upya. Zamani Mfano...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Ni takribani mwaka sasa tangu rais J.K kutoa agizo juu ya ujenzi wa vyumba vya maabara ktk shule zote za sekondari nchini!! Wilaya ya Buhigwe - Kigoma ni moja kati ya wilaya chache nchini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mwenye ufahamu wa hii shule anisaidie kunipa direction, nataka niende hapo . Msaada wenu tafadhali
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Shule ipo maeneo ya Kasulu, Kigoma~Tanzania S.L.P 463 Ni bonge la shule yaani kama St.Marry maelezo zaidi uliza.......
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mimi ni mwl wa sekondari na niko Rombo Kilimanjaro,naomba mtu wa kubadilishana kutoka Pwani au Dar es salaam. 0719103278
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Back
Top Bottom