Habari za leo wakuu!
Napenda kuuliza kuwa, hivi inawezekana kwa mtu aliyesoma na kutunukiwa diploma in telecommunications networks kukitumia hicho cheti chake kuomba mafunzo ya bachelor of...
jamani kuna msiba wa mhadhiri muhimu sana ktk chuo cha SMMUCO TAWI LA MWIKA. hivyo masomo yameahirishwa ili Wanachuo waomboleze. msiba ulitokea jana tarehe 07/12/2014 mazishi yanafanyika leo saa...
Habar wana jf ninaomba kufahamu hivi kwa chuo cha Ardhi university hakuna option ya mtu kuweza ku apply chuo moja kwa moja chuoni bila kupitia tcu,hii ni kwa wale walio maliza diploma kutoka vyuo...
Ilikuwa jana jioni mh. marco joseph alipoamua kulivunja baraza lake la mawaziri kutokana na sababu mbalimbali za baadhi ya watendaji wake kuonesha utomvu wa nidhamu,cha kushangaza kamuacha waziri...
Hakika, nimejaribu kuitafuta hotuba hiyo bila mafanikio. Mwenye uwezo wa kuileta hapa, tafadhali.
Akihutubia Chama cha Waalimu Kenya (KNUT) amejadili mambo mazito kuhusu umuhimu wa kuwekeza kwa...
Naomba Kujua Kama Utaratibu Wa Mtu Aliyesoma Cheti Vyuo Vya Kilimo Kuomba Kusoma Degree Kwa Kigezo Cha Ufauru Wake Wa Kidato Cha Nne Kama Bado Upo (SUA)
Ni chuo ambacho kimeanzishwa rasmi 2011 na mwaka jana wakafanya mahafali ya kwanza pale kariakoo na mgeni rasmi akiwa makamu wa rais Dr Billali
Chuo ni kichanga na kinatumia majengo ya kukodi...
Nasikia kunauwezekano wa kupandishia master ya facult ambayo hujasoma degree yake, mfano umesoma civil eng then ukachukua master ya computer eng au hata upharmacy kigezo kilichopo ni combination...
please mwenye kufahamu course ya mambo yanayohusu "marine engenering" anijuze,inatolewa wapi apa bongo,ada yake na inafundishwa kw kpnd gani,i mean time taken.
Wadau naombeni msaada hapa.. hivi kuna namna yoyote mtu ambaye hajafanya vema form four anataka kufanya grade A akapata zile foundation course kama ambavyo kwenye course nyingne zipo? I mean...
Wakuu imebidi nije niwashirikishe hapa.
Kuna shule moja hapa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro inaitwa Patmos Secondary School..
Nimevutiwa na mengi sana kwenye hii shule inayochipukia kwa...
Habarini wana jamvi!! Mimi kwa mda sasa nashindwa kuwaelewa Bodi ya mikopo ya Elimu (HESLB) kwa upande wa Loans repayment kwa wanufaika wote. Moja hii mikopo ina riba au haina, pili inakuaje mtu...
Takiribani wiki mbili sasa wanafunzi wa bse mwaka wa pili st.Joseph dar wamesimamishwa masomo kisa kudai meal and accomodation iliyocheleweshwa mwezi mzima na kuwafanya wanafunzi kuishi maisha...
jamaa alikuwa na
safari, kwa habati zuri akakutuna na mti wenye ndege. kwa akili ya kawaida akahisi ndege wako mia moja, akawasalimu.
Habari zenu ndege miamoja, ndege wakakataa wakasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.