Mkuu wa shule kubwa alosoma Felix Mkosamali na Inayofadhiliwa na Ma Salma Kikwete Bw Ndele Mwaselela amewatapeli waalimu na wazazi huko DUMILA NA DAKAWA mkoani MOROGORO. Waalimu walipaswa kulipwa...
Habari wana JF,
Tafadhali naomba kujuzwa kuhusu hii sylabus mpya, in terms of exemption, scope of studying of the subjects in professional examination scheme, those eligible to start at...
Habari ndugu zangu.
Nimeshindwa la kufanya na kushauri, mdogo wangu kahitimu diploma ya ualimu ila ana mapenzi sana na IT yuko kazini tangu 2013 anahitaji kwenda kusoma ila ni kipi akasomee...
its normal we educated people especially we Tanzanian to discuss issues such as comparing universities among ourselves as if the title of our universities matter in academic judgement, my self am...
Naomba hints za swali hili yaani linahitaji nini na inakuwaje
Verbal communication can be complemented by non-verbal communication but not always.discuss this statement by using vivid an clear...
NI SAHIHI KUWATENGA WANAFUNZI WETU KWA KIGEZO CHA WENYE VIPAJI?
JUMATANO ya Novemba, 5 2014 Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) lilitangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika...
I-Mount Training Institute (ITI) tunatoa mafunzo ya siku 5 kuhusu kujiandaa kwa maisha kabla na baada ya kustaafu ili kuwawezesha wastaafu kupata mbinu stahiki za kustaafu vyema. Mafunzo yajayo...
Ndugu zanguni Chonde chonde nisaidieni katika hili...
Naomba kujua kama NACTE wanaweza kusajili chuo kikuu kinachotoa degree, kwani katika kuperuzi website yao nimeona chuo kikuu cha ST. JOSEPH...
Ikiwa ni wiki mbili toka wanafunzi wa St John waingie barabaran kupinga mambo mabalimbali yanayoendelea chuoni hapo, leo hii tena walimu na watumishi mbalimbali chuoni hapo wamekuwa na vikao...
Kumekuwa na tetesi kuwa kuanzia mwaka 2015 serikali itatoa posho ya madaraka allowance kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata endapo watakuwa na elimu stahiki.
Yaani Mwl. Mkuu...
Jamani mwenye past papers za chemistry na bios a level afanya kuni pm ili tuangalie uwezekano wa kunitumia mdogo wangu ana hitaji sasa plz guys nisaidieni
Wakuu wa kaya naombeni kuuliza, hivi cheti cha form four kinatolewa mwisho kwa marks ngapi? au as long as umemaliza unapata?
Nisaidieni nina mdogo wangu binamu alimaliza 2013 alipata div IV 35...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.