Vyuo vikuu vitatu vya Tanzania
ambavyo vilishiriki katika
mashindano ya mjadala wa Afrika
kuhusu Sheria za kimataifa za haki
za kibinaadamu yalioandaliwa na
kamati ya kimataifa ya shirika la...
Serikali imebaini kiasi cha Sh. bilioni 3.1 zimekuwa zikitolewa kama mishahara hewa kwa walimu wa halmashauri mbalimbali nchini.
Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
Habari wana jf napenda kuuliza kwamba boom kwa wale transfered students hususan faculty za education(science)lini linatoka mwenye ufaham atujuze
Akhsanten
Jumuia ya wanafunzi wa taasisi za Elimu ya juu(TAHLISO) imeipa serikali siku saba kuhakikisha imetoa fedha ya mkopo kwa wanafunzi ya ishirini na nane elfu na thelethini na saba wa mwaka wa kwanza...
Mimi ni mwanachuo BAED, SAUT - MWANZA CAMPUS. Mwaka huu wa kwanza 2014 nina self sponsorship ila nahitaji kuomba mkopo wa elimu ya juu mwakani, kwa wale wenye uzoefu na haya mambo ninaweza pata...
Hivyo ndivyo hali ilivyo, vijana wanasoma stashahada ya juu(higher diploma) na mafunzo yote hapa yanaendeshwa kwa mfumo wa chuo kikuu academically yaani pindi linapigwa kisha notes ni gharama ya...
Sijajua ni mazoea au ni malezi, kuna mama mweupe mmoja yupo ofisi ya admission, hana huruma na wanafunzi hata kidogo, mimi nilienda kufanya clearance yangu leo, kumbe vijana wanafanya mitihani...
Naombeni mnijuze wana Jamiiforums,
Ikiwa umepata mkopo na ukashindwa kwenda kuanza masomo mwaka huo. Je,kuna namna ya kufanya ili mkopo wako utumike mwakani? Msaada tafadhali.
Maskendo yote ya ufisadi serikalin yanaratibwa na graduates from udsm for more than 90%
hebu tubadilike jamani
EPA, Escrow Tegeta...
Ni mifano tu.
Na inazimwa na wanasheria graduates wa udsm...
Habar zenu wakuu.
Nimejaribu kufanya process ya ku appeal mkopo lakini inashindikana kwa sababu kila nikiingiza codes nilizopewa baada ya kulipia mpesa napata ujumbe kua The transaction code does...
3 Tanzanian universities flop in law debate
By The Citizen Reporter
Posted Wednesday, November 26 2014 at 10:52
Arusha. Three Tanzanian Universities which participated in the African...
Kama mtakumbuka,serikali imekuwa ikifanya jitihada kubwa ya kulipa madeni ya watumishi ikiwa ni pamoja na madeni ya walimu. Madeni hayo yamekuwa yakilipwa baada ya kufanyiwa uhakiki na timu ya...
Wadau wanaojua zaidi kuhusu mfumo wa NACTE kuendesha mafunzo haya ya stashahada ya elimu ya msingi atujuze kuhusu yafuatayo: je, uvaaji uniform umo?, ulinzi getini upo?,
Usafi wa maeneo aka...
Kumekuwa na kelele nyingi kuhusu ujenzi wa maabara ulioamriwa na Rais Kikwete. Mwelekeo unaomnyesha kuwa tafsiri ya maabara kwa upande wa serikali ni majengo. Kwanza sipingi wazo la wananchi...
SALAAM,
Swali langu ni je mhitimu wa ngazi ya shahada katika fani ya elimu anaweza kupata post ya ajira hata kama bado hajakamilisha vizuri masomo yake? Namaanisha labda bado ana...
Natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo. Cha kazi , awe anatoka. Mikoa ya Kilimanjaro ,Arusha, Manyara. Dodoma, Tanga na Singida , Mimi niko mkoa wa Lindi wilaya ya Liwale. Mawasiliano 0656...