Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba anayefahamu taratibu za uhamisho wa kubadilishana kituo anisaidie katika hili, Je! mwalimu unapokuwa na Tsd no. na cheq no. zinatosha kwa ajili ya uhamisho au ni lazima tena uwe na barua ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jaman ndugu zangu naombeni kuelekezwa namna ya kuandika barua ilikuacha kupeleka mkopo kwenye chuo husika kama hujaripot kwenye hicho chuo
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Neno "mysterious" kwangu mie ktk issue kama hizi ndipo huchukua maada . Distrust or lack of sureness of an alleged fact haiepukiki katika maumbile yetu binadamu . Hebu fuatana nami mguu kwa...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Waandishi wa habari na maafisa usalama wapo kufuatilia mgomo polisi unalinda nguvu ya umma. Leo tarehe 19, Novemba 2014, wanafunzi wamegoma kuingia darasan kwa sababu zilizotajwa kuwa kikwazo...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Hii inajihusisha na nini? (shughuli zinazohusiana na sound eng)
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Wadau. Mimi nmehitimu chuo this year ila nina mpango mwakani wa kusoma bachelor degree nyingine. Naomba msaada wa procedures hasa pale loans board ili niweze pata mkopo tena sababu TCU...
0 Reactions
54 Replies
11K Views
Nianze kwa kuwashukuru kwa kuusoma ujumbe huu! Mimi ninamiaka 27 kwa umri. Nimemaliza shahada yangu ya kwanza mwaka 2011 chuo kikuu kishiriki cha UDSM, hadi naandika ujumbe huu, ndio natimiza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni mwalimu graduate wa masomo ya sayansi nimefundisha private miaka mingi nataka kuingia serikalini, nianzie wapi?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau natafuta shule ya msingi ya bording ya kiislamu kwa ajili ya mwanangu, yenye sifa kitaaluma, maadili bora, iwe Dar es salaam, Moro au mkoa wa pwani na ada kati ya milioni moja hadi mbili...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna mdogo wangu nimempeleka shule ya private, form five kwa iyo dision four je kuna tatzo ingawa ana credit tatu. MSAADA TAFADHALI YANI NIKO NJIA PANDA JAPOKUWA DOGO ANAENDELEA KUSOMA...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Ameingia Udom wanafunzi wanamtwanga maswali ya kila namna
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kumekuwepo na malalamiko ya uhaba wa vitabu mashuleni hivyo wanafunzi wengi kushindwa kufanya vizuri katika masomo yao. kama mdau wa elimu, nimeamua kujitolea kutoa msaada kwa wote katika masomo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naiomba serikali kupitia TAMISEM na wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi isitishe ajira za walimu wa leseni walioajiriwa mwaka 2006 na 2007 kwa lengo la kuongeza ufanisi katika shule za kata...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Mwenye list au link yoyote inayoweza kunipa graduants wa SAUT- MWANZA 2014 anisaidie . Jodel1986.jd gmail.com Asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ofisi ya waziri mkuu tamisemi,wizara ya elimu na mafunzi ya ufundi,mamlaka ya biashara na huduma za nje tantrade pamoja na global eduction link wanatarajiwa kufanya maonesho makubwa ya kimataifa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta chuo cha unesi diploma eneo la dar es salaam.Tayari nina certificate ya unesi kwa hiyo kwa sasa natafuta chuo cha kujiendeleza kwa diploma maeneo ya dar!Kwa mwenye kujua chuo chochote...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
toka zamani nasikia walimu wa lesseni ila sijawai kuwaona, je wanasifa zipi na wanatofauti gani na walimu wa kawaida pia Utumishi wapo kama waajiriwa kama walimu wengine au wanawachukulia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaman natarajia kufanya mtihan wa 4m 6 mwaka keshokutwa as private candidate, so ni vtabu gan vzur vya ku2mia kwa upande wa history, geography na kiswahil, but zngatia muhtasari mpya, asanten...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini ndugu, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi nilikua naomba mnifahamishe vitu ambavyo mwanafunzi anatakiwa avifanye endapo amechaguliwa chuo fulani na amepata mkopo lakini hataki kusoma...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Ndugu zangu naombeni msaada wa kunisaidia nipate chuo na nianze ngazo ipi kulingana na point zangu mm nimeitimu 2013 nikapata division four ya point 18 nilikuwa nachukua PCM physic(F) chemistry(E)...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom