Mwanangu anatarajia kumaliza elimu ya msingi mwakani. Anasoma kwenye moja ya shule za umma (serikali) hapa Dar. Nisingependa aende kusoma shule hizi za kata ambazo nyingi mazingira yake ya elimu...
Katika shule mbali mbali na sehemu mbali mbali, kumekuwa na matabaka mawili kati ya wasomi wa art na science, huku wanaochukua masomo ya science wanajiona wao ndio bora kuliko wasomi wengine...
Nashangaa kwa nini Huyu mtu anaiburuza hii wizara kiasi hicho? mbona hao wakristo na waislam wakiwa na shuguli zao za kawaida tu huku mtu haijalishi siku muda wote utawaona wakiruka ruka.
wabudha...
masaada wadau kwa anayefahamu shule nzuri ya serikali yenye kutoa mchepuo wa pgm.nina kibwana mdogo changu kinafikiria kuchukua kombi hiyo.ahsanteni wadau
Unakuta mtu ana FEE , katika PCM anaenda kusomea civil au electrical. Hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunzi wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo...
Wadau kumeibuka tabia siku hizi ya kuwalaumu walimu kuwa walifeli mitihani kwa ngazi zote form four kwa wale wa shule za msingi na form six kwa wale wa sekondari.Siku hizi hata watoto wadogo...
Habarini nimekuja na swali hapa ningependa kujua tanzania ni nchi ya ngapi kwa ubora wa elimu inayo tolewa ukilinganisha na nchi zingne coz mm naona kama elimu ya tanzania ni ngumu sanaaaaaaa tena...
Habari za leo wanajamii! Nauliza mwenye kufahamu, mkopo kutoka HESLB kwa waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya stashahada maalum ya ualimu chuo kikuu Dodoma umetoka ama bado!!?
Heshima kwenu wadau,
Natafuta mawasiliano na wahusika wa hii shule hasa ya sim au email nayahitaji kwa haraka ama kwa unae jua ada yao kwa mwaka kwa form one basi itakua vema ukinifahamisha.
Ni dhahiri kabisa hapa Tz kuna ongezeko kubwa sana la taasisi za elimu za taaluma mbalimbali sambamba na ongezeko la wahitimu, Je, tunakosea wapi? Hatuzijui fursa? Ni kweli taasisi za mikopo...
Tafadhali wadau kwa mwenye ufahamu na hili anifahamishe tafadhali. Kutokana na uhaba wa wataalamu wa maabara kwenye shule za sekondari za serikali imepelekea walimu wa masomo km chemistry kuandaa...
Namtafuta Mwalimu Martini Nandi (maarufu kama Mwalimu Nandi). Alikuwa mwalimu wa shule ya msingi Malolo iliyopo wilaya ya Singida vijijini, Tarafa ya Mtinko, hadi kufikia July mwaka huu (2014) -...
Nimeshasikia mabishano mara nyingi watu ambao wamesoma education wanadai kuwa kama hujasomea ualimu huwezi kuwafundsha watu wakuelewe yaani hujui mbinu za kufundishia, je kiuhalisia ni kweli hiki...
Hizi ni baadhi ya Mitihani ya Kenya Kidato cha Nne. Jee, Kwa maoni yako ni rahisi kushinda uliyofanya na ungeweza pata Maki ngapi?
Ni Mtihani wa 2013 wala sio 2014. Kwa kuwa wengi hapa JF ni...
Kiongozi wa mikopo chuoni juzi ameleta taarifa ya haraka kwamba wale wote ambao wanataka kuongezewa mkopo na wale ambao pia hawana kabisa mkopo hata kama hawajaomba kwamba waandike majina na namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.