Kwa wale waliofanikiwa kufika A-level Kuna inshu ina nitatiza hapa philosophy ideas of lenin & Karl Marx na philosophy ideas of Nyerere na Nkrumah .
Nimetafuta nimeshindwa na ticha kasema tutajua...
Nimeomba chuo mwaka huu, lakini bahati mbaya nimeangukia kozi ambayo sikuipenda kutokana na competition, hivyo mimi binafsi napenda kuacha masomo kwa mwaka huu, ili nipate nafasi yakuja kuomba...
Jaman sory naomba kuuliza kuwa suala la boom kwa first year tunapata lin? Mana me nimeripot hapa udom tar. 30/10 lakn mpaka sasa cjapata boom langu na maisha yashaanza kuwa magumu. Naomben majibu...
Nimepata kuona waraka wa necta unaowaruhusu wahitimu wote waliowahi kupotelewa ama kuharibikiwa na vyeti vyao vya hawali kwamba sasa wanaweza kupatiwa vyeti mbadala ama 'alternative certificate'...
The National Council for Technical Education (NACTE) would like to inform you that the deadline for transfers (applications and allocation to new institutions) was on 3rd November 2014. A list of...
Wakuu,
Jana nilijuwa na jamaa zangu na niliwauliza kuhusu chuo kizuri cha sheria kwakuwa kuna jamaa yangu anahitaji
Katika mazungumzo hayo kuna jamaa alitaja chuo kimoja cha kisabato ndipo jamaa...
Mtu anaanzisha shule,then kwenye matangazo anaenda kupiga picha majengo sehemu nyingine kama ya chuo fulani kikuu na kusifia huduma zake,lakini kumbe ukweli ni mwingine na wengine wakifika...
Guyz habarini hapa mm nina wazo na ninataka nipeleke ngazi husika naombeni ushauri niende au vipi na je hili wazo litakuwaje
Lipo hivi kila taasisi hapa nchini ina umuhimu mkubwa na, wengi...
Naombeni msaada kuhusu hili swala kwa mfano mtu aliyekosa mkopo kabisa akalipia garama zote za chuo za mwaka mzima alafu akaja ku appeal mkopo na akapata vipi chuo kinamrudishiaa pesa zake au...
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye
Hoja kuwa hali ya elimu ya taifa hili ni mbaya imeendelea kuungwa mkono na wadau mbalimbali, safari hii Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, ameeleza...
Nimeaandaa materials kwa ajiri ya kuandika kitabu cha litetature..nakadiria kitabu kuwa na page kama 150 hv..mwenye kujua taratibu za kufuata na kupata isbn pamoja na gharama za printing anijuze plz.
maisha ya chuo nasupport ndogo ya mzazi,nyakati zimekuwa ngumu sana nimeamua kuachana na chuo rasmi, inaumiza lakini hakuna jinsi siwezi fahamu kipi kitatoke baada ya hapa cha msingi kuendelea...
NIna ndugu yangu kamaliza chuo kikuu na ana degree 1 umri wake ni miaka 23 anataka jiunga na jeshi
Je jeshi wanasomesha watu kufanya Masters?
Vikosi/Vitengo vipi vya jeshi ni bora kujiung navyo...
Ndg wanajamii Nna mpango wa kusoma open university ya education economics na geogy lkn cna uhakika kuw ntakapomalza degree wizara itantambua kama mwalm sawa na fresh from university ama vp na je...
Shule nyingi haswa za serikali notes zinazotumika ni za walimu wa mitaani wasiosomea ualimu. Japo mwalimu yupo lakini bado anakua km option. Shule km ilboru kulikua kuna ktu inaitwa chamber huto...
Wadau wa elimu habari zenu?
Naitwa mwl.mwaipaja nafundisha "general studies" nkasi s.s mkoani rukwa.
Nataka kuchapa kitabu cha gs kwa anaefahamu naomba anijuze utaratibu wa kupata isbn mpaka...
Mpaka sasa wanafunzi wa mwaka wa pili hakuna kinachozungumzwa kuhusu boom cjui wanatutakia nn maana tumehishiwa tunafukuzwa kwenye nyumba tulizopanga Kodi mkataba umekwisha,tunakula kwa taabu. Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.