Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ndugu wana jukwaa katika hali ya kushangaza maafisa wa bodi ya mikopo kwa kushirikiana na uongozi wa chuo kikuu cha Iringa zamani kikijulikana kama Tumaini wameamua kukata hela za wanafunzi wanao...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Ni mara yangu ya kwanza kufika hapa KCMC nimefurahi sana kuona chuo kilivyo cha kisasa katika kuendesha shughuli zake. 1.Mitihani inafanywa online Mitihani yote inayofanywa hapa chuoni ufanyika...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari wakuu, mimi ni mwanafunzi wa 1st year apo UDSM, nilichelewa kuripoti chuo sababu za matatizo yaliyonikabili.....sasa nashangaa baada ya kufanya usajili nataka kulipia chumba naambiwa chumba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
chuo kikuu cha mt. joseph kilichopo songea kina maajabu mengi na miujiza lukuki, kwa mfano,1- first year 2014 walisain 663,000 tshs wamepewa 200,000 wahindi wanadai hiyo ndo ela iliyotoka loan...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hawa jamaa wana mtindo mbaya sana, fungu wanalopewa kwa ajili ya wanafunzi wao hufanya biashara zao zizae ndo waanze kuzigawa mambo yakiwaendea ndivyo sivyo wanagawa pesa robo robo hizi tabia za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwawale mliochaguliwa diploma maalum udom usilipe yani unasajiliwa bila hata ya hiyo hela. .
0 Reactions
5 Replies
1K Views
This is a list of 100 people who have changed the world. People Who Changed the World 1. Jesus Christ (c.5BC - 30AD) Spiritual Teacher, central figure of Christianity. 2. Thomas...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Natumai wengi tutakua tushaanza kujua mambo mbalimbali ya vyuo vyetu... tupaene habari kwa chochote ulichokikuta au mambo yalivyo kwa ujumla..... Mimi nipo ardhi ni full assignments...yaani no...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Scholarships are offered to international students of outstanding ability from outside the European Union. A number of scholarships are offered to Mathematics students of outstanding ability...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jf, Naomba msaada mnifahamishe iwapo vipo vyuo vyetu vikuu hapa tz chini ya TCU tofauti na open university (OUT) vinavyoruhusu muhitimu wa masomo ya OFC kujiunga navyo. Mdogo wangu amehitimu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni kujuzwa vyuo vinavyotoa post graduate ya ualimu hapa Dsm na gharama zake shilingi ngapi? na huwa application ni mwezi wa ngapi?? ##nawasilisha....
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamvi, Mwenye uelewa wowote kuhusu quality ya batchelor of education inayotolewa na university of Arusha ile unayosoma kipindi cha likizo{JUNE-JULY&DEC-JAN}. Niarifu tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
# BUNGENI Zitto Kabwe ataka Kura ya Maoni ya Katiba ihairishwe ili pesa zikopeshe wanafunzi wa vyuo vikuu waliokosa mikopo, Pinda akataa asema lazima suala la Katiba liishe Yupi unaona yuko...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanajamvi nisaidieni wap ntapata chuo cha hotelmanagement au secretarial course kwa hapa twn ambavyo pia vinatoa huduma ya hostel Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Hizi ni baadhi ya faida za kupitia jkt kwa wahitimu hasa kwa wale wanao shiriki kikamilifu. Kwanza wana uvumilivu mkubwa ktk kila jambo pili ni wepesi wa kupokea amri zinazotolewa juu yao tatu...
0 Reactions
107 Replies
14K Views
Ndugu natafuta shule nzuri & bora ya PRIVATE hapa DSM kwa O-LEVEL. Nisaidie na viwango vya ADA..!!
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Wana jf mamb vp habar za weekend jaman me nna shida ya kujua alfabet za kirumi yani nilikua nazijuaga ila nilisahau nataka kujua kuzitumia kwenye note book yangu coz kuna vitu vya siri huwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naombeni mnisaidie derivation ya general formular ya sine ile inaosema (pie n + ( -1)power n angle alpha au hata kamaa ipo kwene daftar au kitabu nipigie picha au video then nitumie whatsapp...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Waungwana naomba munijuze zaidi kuhusu hizi svholarship za msumbiji je ni vigezo gani wanaangalia ili upate scholarship ? Pia ni vyuo gani vya msumbij hao waliopata scholarship watapelekwa kusoma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi wana JF naomba mnisaidie sehemu ya kufanya field ninasoma certificate ya IT TPSC college ndugu zangu nimekwama.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom