Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba msaada kuhusu mahali chuo hiki kilipo ukiwa unatokea Ubungo. Msaada kuhusu gari au magari ya kupanda na vituo vya kushukia hadi kufika chuoni hapo. Nashukuru kwa yeyote mwenye mawazo ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu; Katika harakati zetu za kuinua vipaji mbalimbali tumekutana na kipaji cha mtu anayeandika vitabu mbalimbali na kwa kiasi kikubwa vimekubalika katika jamii ila changamoto ni...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Natafta mwalm wa kubadlshana naye nipo idara ya sekondar tunduru.. mim niende songea, iringa, njombe au mbeya ..mawasliano 0684033233. Natanglza shukran.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasomi ninaomba kwa aliye maliza open mwaka huu ambao wanajiandaa na presentation ya paper ani PM ninashida
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Wadau, naomba kufahamishwa, Je Mbegu ya Mnyama inayo weza/ku/sababisha Mimba, ni Sehemu ya viumbe hai au La? Kama ni Sehemu ya viumbe hai/hai, je katika Classification ya Viumbe hai, ina fall...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau Majina yameongzwa kwa waliomba diploma maalumu chuo kikuu cha Dodoma na nakufikia jumla idadi takribani 6000. Majina yameambatanishwa hapa chini.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau nimesikitishwa sana na matokeo mabaya ya shule za Msingi Mkoani Mbeya! siasa zimeharibu kila kitu Elimu imeshuka sana na inasikitisha, wenzetu wanasonga mbele sisi tunazidi kupotea kabisa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nikiwa kama mwanafunzi wa udaktari bingwa ninashangazwa sana jinsi wizara ya afya inavyochelewesha malipo kwa wanafunzi wa udaktari wanaosomea digrii ya pili. Imekuwa ni kawaida sana malipo ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
JAMAN MI KUNA DOGO YUPO UDOM ANASOMA BACHELOR OF BUSNESSS ADMINISTRATION UKIMULIZA KAMA ANA MKOPO AU HANA ANASEMA ANA MKOPO LAKIN UKIANGALIA KWENYE SYSTEM YA KUJUA KAMA UNA MKOPO AU HUNA(LOAN...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba tafsiri ya sentensi hii nisije nikaingizwa mkenge balance due to me balance due to bursar
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Shirika lisilo la kiserikali la True Vision Tanzania (TVTA) limeanzisha programu maalumu yenye malengo ya kutoa motisha ya kuwaongezea kujiamini na kusoma kwa bidii wanafunzi wote wanaosoma kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello Natanguliza samahan kwa kuwachosha..kwa yoyote mwenye link ya matokeo ya Darasa la saba 7 tafadhal anipatie maana yameshatoka Ahsanteni
0 Reactions
16 Replies
26K Views
I`m a holder of a Bachelor of science with Education (CHEMISTRY and BIOLOGY) from the University of Dar es salaam. I`m ready to work at any school . For further communication use; 0759 410 327.
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Ndugu zangu nilikuwa nimechaguliwa chuo cha tiba tandabui ila wafazili wangu wakakataa kunilipia ada ila nilikuwa nimekwisha lipa laki 4 je naweza pata transfer ya chuo af chuo ga naweza pata au...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
tumezoea kusikia kwamba benki A huwai kuwawekea mikopo wanafunzi wao kuliko benki B ambayo watu usema mikopo huchelewa sana... je nikweli kunakuwa na hujuma zinafanywa kwa maksudi ili tuwaone...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
wadau kama kichwa kinavoonekana hapo naomba mtu mwenye notice za hoteli management!nataka nijisomee ili nitafte kazii za hotel coz inaweza saidia kuliko hii Degree maana sioni dalili za...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu salam, Naomba mwenye kujua shule ya sekondari (O-level) ya wasichana, yenye ghalama nafuu ya karo (walau 1.5M) na inafaurisha vizur. nina mdogo wangu nataka na yeye akasome aisee. shukrani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Kutokana na bodi ya mikopo kutoa majina kama walivyofanya tume ya vyuo vikuu hivyo kulazimu wahusika kuyasaka. Nitayaweka hapa na kujitahidi kuyaongeza kadiri yanavyoongezeka. SUA 2014...
18 Reactions
437 Replies
136K Views
jmani waungwanaa naomben msaada mwenye handout au notice za hotel management!soft copy or hard copy!!
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Naomba kuuliza wakuu,!hivi kuna mtu yeyote ambaye ameriport chuoni walikomuhamishia na kufanyiwa registration??maana niko gizani na vyuo vingi tayar walianza kusoma ni takribani mwezi...
0 Reactions
1 Replies
955 Views
Back
Top Bottom