Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa wale wadogo zangu wanao tarajia kuanza mitihani yao ya taifa hivi karibuni,ningependa kuitumia hii fursa kuwatakia mitihani myema..Tupo pamoja katika kuwaombea na nnaimani matokeo yatakuwa...
2 Reactions
49 Replies
8K Views
hellow guys ... kwa yeyote mweenye kujua chuo/vyuo vya nje (international university) vyenye reputation(jina zuri) ambavyo undergraduate anaweza kusoma akiwa hapa hapa nchini ..., naomba kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jukwaa la elimu habari zenu. Leo katika pitapita yangu katika shule fulani ya sekondari jijini Dar-es-salaam nimekutana na wafunzi saa kumi na mbili wakiwa katika harakati za kupeana majibu...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
japo walikatishwa tamaa eti watakomaa mwaka mzima bila boom lasivyo waende kwenye vyuo walopangwa mwanzo.,ila habari ni njema sababu TCU&HESLB tayari washaweka mambo sawa wale wa bugando majina...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Kassim Majaliwa, Deputy minister for Regional Administration and Local Government In the wake of growing disputes, the government has directed councils in the country to seek consent of public...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Hizi ni picha za Chuo cha Ualimu St Marys kilichopo Tabata. ni aibu kuona hapa wanafundishwa walimu na ni jambo la kusikitisha zaidi chuo hiki kipo mjini tena jijini Dar Es Salaam. Chuo hiki...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
habari wakuu, hivi jaman matokeo ya walioomba kuhama kozi yanatolewa lini apo chuo kikuu cha mlimani UDSM??? mana hii ni wiki ya 4 sasa, mwenye uzoefu naomba anijuze hua yanatoka wiki ya ngapi???
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kwa wale waliokosa mkopo kwa maneno haya ya kibaguzi yaliyotolewa na Bodi ya mikopo...COMPLETED F6 / DIPLOMA MORE THAN 3 YEARS AGO...maswali kwa Bodi kama ifuatavyo:- (1) kwa nini hamkuweka kwenye...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ni hatua gani za kufuata unapotaka kukata rufaa bodi ya mikopo.je ni Sababu zipi za msingi zinaweza kukufanya ushinde rufaa yako?
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mwenye kujua majibu ya rufaa kwa bodi ya mikopo hutoka baada ya siku ngapi tangu rufaa kuanza kupokelewa,Naomba anijuze.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Deleted
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wale walioomba second sellection matokeo tcu walishatoa? na kama bado wanasubiri nini wakati baadhi ya vyuo moduli ya pii sasa??na kama tayari ni njia gani walitumia ?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wandugu naomba kwa anayefahamu ada ya mwaka kwa Diploma ya Ualimu kwenye vyuo vya serikali anifahamishe. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
habarin wana jf. nina mdogo wangu alichaguliwa chuo cha mpwapwa lakin hajaripot mpaka sasa kutokana na kutafuta mahitaji pamoja na ada. But now amepata ila wasiwasi wake huko chuoni atapokelewa...
0 Reactions
1 Replies
742 Views
Ndugu zanguni naombeni mnisaidie ni chuo gani cha utalii kizuri hapa nchini na nnaweza kuwasiliana nao vp wahusika wa chuo???
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Transfer nimepata na pesa nimelipia ya transfer sasa sijui kifuatacho ni nini ! Je ! naenda kuripoti nilipopangwa au nasubiri TCU tena ?
1 Reactions
24 Replies
4K Views
kwa yoyote ajuae shule nzuri arusha region ususani tengeru boys plz.. Naomba anifaamishe coz nko na dogo want 2 go dea...*
0 Reactions
7 Replies
2K Views
1.ifm - ni chuo kilicho na resources nyingi kitaaluma academially ni kizuri wanaoleta mchezo hiki chuo wanajifukuza, sio ajabu mwaka wa kwanza mnaanza mpo 800 na wahitimu kubaki hadi 500, test 1...
1 Reactions
5 Replies
24K Views
Restless devevopment volunteers dodoma network inapenda kutoa taarifa kuwa tunasajili wanachama wapya, kwa wanafunzi wote wa UDOM na maeneo jirani mnakaribishwa kujiunga na restless tufanye kazi...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Jaman naomba kuuliza vyeti vya form 4 2013 vimekwisha toka?
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom