Mimi ni mwanachuo second year ambaye ckufanikiwa kupata mkopo kwa mwaka jana,hivyo ilinilazimu kuomba tena mwaka huu,lakin cku majina yalipotoka account yangu ilisoma NOT SECURED bt baada ya muda...
Wadau naomba msaada,Nina mwanafunzi wa first year hana chumba na anahitaji kuchangia chumba na mwanafunzi yeyote atakayejitojeza.Kama yupo aweke mambo hadharani kwenye jukwaa letu hili...
Habari za jion JF
Hivi hawa walimu wa diploma wa mwaka huu wataajiliwa bila kuwa na cheti cha JKT ?
Maana kuna mdogo wangu yupo hajaenda JKT
Nahitaji kujua kama hataajiliwa tumtafufutie cha...
Ni jambo la kusikitisha kwa chuo cha taifa na kimataifa udsm-mlimani kushindwa kuweka mazingira rafiki ya kujifunza.
Kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu tangu july-october, chuo kimeshindwa...
Mambo vipi jamaa zangu!? Nauliza majibu kwa walioomba mkopo HESLB wanafunzi waliodahiliwa diploma ya elimu (special diploma in education) katika chuo kikuu cha Dodoma UDOM yametoka au bado? Msaada
Mimi najiandaa kufanya mtihani wa kidato cha sita (acsee) 2016 kama mtahiniwa wa kujitegemea, endapo ratiba ya mtihani haitaathiri masomo nitakayo soma,
(1) je! kuna ulazima wa mimi kusoma...
Habari za asubuhi GT wa JF.
Kuna suala kuhusu hiki chuo mimi kama mzazi ninayesomesha kijana wangu pale MU nashindwa kuelewa...nina kijana wangu amemaliza mwaka wa kwanza wiki iliyopita....kituko...
Hivi wale waliokua not selected na TCU wakapewa list ya course za kuomba zenye nafasi mpaka saa hizi hawajatoa results hawa TCU maana wengine washaanza masomo sasa mpaka mtu uje ujiandaee upate...
Jaman wadau kwa muda uliopita nilikuwa nalia na tcu kwa mambo ambayo wamenfanyia lakn nikanyamaza sasa npo chuo ambacho nakipenda lakn koz yake siipend sabab nilifanya 2round aplc so nilifanya...
Some positivity once in a while is not a bad idea. Ni akinanani (former Students and/or Faculty) ambao wameweza kufanya mambo makubwa (ktk academia, industry, politics, business etc) ndani na nje...
Poleni sana na majukumu wakubwa.
Samahani kwa yoyote anaejua gharama za kufanya accounting technician exam level 2 , including gharama zote za review class pamoja na registration expenses...
Wizara ya elimu imekuja na mpango mpya ambao watahiniwa binafsi watafanya kila somo mitihani wiwili paper one mark 30 na paper two 70 mark .
Zikijumlishwa unapata marksi 100.
Wasiwasi wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.