Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Waungwana, Nakumbuka Prof mmoja wa education pale UDSM, alituuliza: Kama una very limited resources, uziweke wapi? Kwenye biashara ambayo una uhakika mwanao huko mbele ataweza kupitia biashara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau, naomba msaada wa notes na material ya BBA HRM kwa mwaka wa 3, kama uko tayar naomba tuwasiliane, niko tanga, naweza kukutumia pesa ya kutoa kopy ukanitumia kwa bus
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau mimi ni mwalimu mwenye diploma na degree ya elimu pia katika elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii.Nimehitimu 2012 lakini kitendo cha kwenda kusoma kilinifanya nifungiwe mshahara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni muhitimu wa shahada ya BED PSYCHOLOGY nimekaa tuu nyumban sijapata kazi ya part time hivyo basii kwa mkuu yoyote wa shule au chuo chochote cha Ualimu hata education centre iliyoko hapa Dar...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
kwa waleo walio kosa hostel chuo cha Kampala International university nitafiluten pm
0 Reactions
2 Replies
3K Views
mimi ni mwalimu wa shule ya msingi...na nina hitaj kwenda kusoma kabla huu mpango wao wa ku upgrade walimu haujafika. niamze safari ya kusoma huku nikiwa kazini. kuna njia ya kuongezea credits...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tcu ilitakiwa watoe angalau siku tatu kwa ajili ya kufanya payment for transfer approval lakini wametoa siku moja tu kwa kila batch. Poleni sana watu mlio mbali na huduma za kibenki na za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Msaada kwa anayefahamu jinsi ya kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi hasa Canada,Sweden,Australia au popote naomba ani PM no yake ntamtafuta au tuwasiliane 0762639283. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nikufundishe kutunga hadithi? Ili kutunga hadithi unatakiwa uwe na kisa, uwe na wahusika pia uwe na mandhari na lugha. Sasa hapo unaanza kutunga matukio muhimu. Mfano Musa atazaliwa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimesoma BAED (HIST NA KISWAHILI) Ila mastazi yangu nataka nifanye Kiswahili pekee anaefaham procidure zake naomba anisaidie na Chuo gani kinafaa
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu naomba kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kupata room kwa maeneo jirani na chuo cha AMUCTA(SAUT-TABORA) ani pm. Natanguliza shukran.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada kwa kwenye grading system ya Muccobs, yaani kitu chochote kinachooneaha mfumo wa alam za ufaulu wa masomo mf. A= ngapi, au inaanzia ngapi Na inaishia wapi. Nimejaribu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau angalieni tena mimi nimepata langu muda si mref mwanzoni ilikuwa not secured. Kuna majina yamekuwa added.
2 Reactions
301 Replies
36K Views
Naomba mnijuze kuhus hilo comb hasa language p2, Novels,plays na poetry.Na mada nyingine za Language na G.S.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
New syllabus is tested for the first time From 25th Nov to 28th Nov 2014 Click
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Naomba kuwauliza waheshimiwa, hivi huku chuo A B B+ C and D credit zake znakuaje. Au. Ukipata C au A zote znakua na credit moja. Na ili nifaulu vizur nijaribu kupatapataje yaan. First year SUA
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nasikia TCU wametoa third batch
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hivi ni Tz hii ya mwl ya Jk Nyerere ndio ambayo imebadilika hivi? mpaka leo sitak kuamini watu wote waliokosa mkopo hakuna hata :hail:tamko Rasm lililotolew la kutia moyo sisi wana wa jangwani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hii shule ipo Tanga naskia huko lushoto nlikuwa naomba contact za mwalimu au administration ya hapo kama kuna mtu anayo
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana jf,naomba msaada anayejua chuo kizuri chenye mafunzo yaurembo mahali kilipo hapa Dar
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom