Imekua ni wiki mbili mfululizo sasa tangu muanze kutoa admission letter kwa njia ya mtandao kwa wanafunzi walochaguliwa hapo chuoni kwenu lakini cha kushangaza mpaka sasa.
Hiyo system yenu ni...
Kingston University offers a number of scholarships to full-time postgraduate students in any subject area on a one-year taught masters degree based at the university.
Scholarships are available...
habari zenu wanajamvi, naomba kuuliza kama kuna mtu aliyesoma kwa schorlaship ya australia anipe taarifa mchakato wake unavyokwenda, wanataka GPA iwe ngapi etc,
pili ningependa kujua ubarozi wao...
Nimechaguliwa IT pale IFM ila sasa nimeamua niikache na kuomba diploma ya clinical officer. Lakini bado mwakani ninataka nijaribu tena kuaaply tena degree ya md au nursing. Sasa swali langu ni je...
Wakuu habarini za mda huu! Kwanza natanguliza shukran kwenu. Kwa mwenye kufahamu au aliyesoma katika chuo kikuu cha science na techonolojia cha Mbeya na anafahamu juu ya upatkanaji wa hostel au...
1. All applicants whose names appear in the list below are eligible for transfer to
the requested programmes, but could not be selected due to limited
capacity.
2. There are 316 empty slots at...
Naomba msaada kuhusu loan allocation, ni siku kumi sasa naangalia kwa kufuata huo utaratibu uliopo lakini sijafanikiwa
na chuo kishafunguliwa, naomba mniangalizie S0119.0044.2008 PLEASE.
Jaman kwa ambao tmepata transfer na tulikuwa hatujafanya registration kweny vyuo vya mwanzo baada ya kulipa transfer fees yao kwa usahihi hiv tunaenda moja kwa moja kwenye vyuo tulivyo hamishiwa...
Mwenye taarifa zozote za kinachoendelea pale DIT mpaka sasa atujuze maana hamna join instr. Wala majina yaliyotolewa wala habari yoyote kwenye site ya chuo... Also mwenye uzoefu wa hapo, hostel...
Habarini ndugu zangu! kama kunamtu anaweza kunisaidia nikapata nafasi katika shule mzuri za serikali au binafsi ambayo ni boding kidato cha kwanza anisaidie kwa ajili ya mdogo wangu.iwe ya...
Wanajamvi,
Katika miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko la mikoa na wilaya.
Hii ina maana kwamba hata atlas zetu nyingi zimepitwa na wakati.
Naomba msaada wa mtu mwenye ramani ya...
Jaman tokea watoe majina ya wanafunz walio pata mkopo cjafaniki kuona kama jinalangu lipo au hamna kilankijarbu kuhangaika inanisumbua tu anae weza kunisaidia my index number S0659.0071.2010
Habarin wapendwa!! Maisha ni fumbo zito sana, narudi hatua kadhaa nyuma najaribu kuangalia jinsi nilivyopoteza tumain kt maisha yangu, kila mlango ulikuwa umejifunga tena na kufuli nzito ya chuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.