Mwenye kujua kama kuna batch nyingne za loan au ndo tushakosa kwa first yr na naomba mniangalizie namba s3623/0081/2010 kama imepata mkopo au imekosa.
Natanguliza shukraan
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.myexample.Math_Form_pro
This app is the basic mathematics learning and preparation materials that provide the depth of coverage necessary to...
Wakuu, naamini mpo wazima.
Niende moja kwa moja kwa nachoomba msaada.
Naomba kuuliza,
Je, marejesho ya Loan board kwa sisi tuliokuwa na,mkopo enzi tukiwa chuo yanaanza kulipwa mda gani baada ya...
Msaada kwa anayefahamu! Ukishadownload form za uhamisho na kujaza kwa wale wa NACTE zinatumwaje hizo form za maombi ? Sioni maelezo yao kabisa hawa nacte. Ni tangazo tu na form no directions kama...
Mwezi huu wa Octoba wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na elimu ya juu hapa Tanzania wameanza kuripoti kwenye vyuo walivyopangiwa. Awali ya yote nichukue nafasi hii kuwapongeza wale wote ambao...
Naomben mnisaidie pia mnipe ushauri nifanye nini maana nimepata chuo Sua ada yake ni 1,263,000/= bado vitu vingine chuo kinafunguliwa tarehe 13/10/2014. Nifanye nini mwenye kuguswa na tatizo hili...
kuna haja gani ya kuwapo na huo utaratibu wa kupeleka form tajwa hapo mashuleni na vyuoni ukizingatia asilimia kubwa huwa zina fojiwa... naona haina haja yakua na huo utaratibu kwenye sehemu kama...
Mi ni mwanafunzi wa first year Primary Health Care Institute PHCI-Iringa natafuta chumba kilicho karibu na chuo umbali usiozidi 2Km kwenda chuoni na kodi isiyozidi 30,000. mwenye tetesi anitafute...
Habari,
Attached ni majina ya wanafunzi ambao transfer zao zimekubaliwa, TCU wameanza na medical related programmes
Tanzania Commission for Universities
NOTICE TO ALL APPLICANTS WHO APPLIED...
Jenista Mhagama, Deputy Minister for Education and Vocational Training
Tanzania government may soon release the much awaited national education policy that aims to monitor, control and direct...
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU)
TAARIFA KWA UMMA
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) INA MAMLAKA KISHERIA KUSIMAMIA NA KURATIBU UDAHILI WA WANAFUNZI WOTE WANAOJIUNGA NA VYUO VIKUU VYOTE NCHINI...
Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alinukuliwa na vyombo vya habari akisema kuwa umefika wakati wa elimu ya sekondari kutolewa bure na Wanafunzi wa elimu ya juu walioomba mkopo kupewa...
Hbr za cku nyingine njema wadau wa JE? Leo naomba mdau anayefahamu utaratibu mzm wa utoaji wa pesa za kujikimu kwa wanachuo,maana nimeckia wananatoa kwa awamu.Natanguliza shukrani zangu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.