Taarifa niliyopewa leo na heslb juu ya wale wote ambao hawajapata taarifa juu ya mkopo kwamba wamekosa au wamepata, yaan akaunti zao hazidisplay taarifa yoyote ni kwamba admission zao hazijafika...
Habari za asubuhi wana jukwaa. Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania, Mwanza mwaka wa tatu 'BAED' na nimepanga kufanya utafiti (Research) juu ya mtazamo wa...
Wakuu,
Kuna jambo moja limenishtua na nikaona tushirikishane. Jana niliona snapshot ITV kuhusu mzee mmoja akizungumzia swala la elimu nchini, aliongea kwa masikitiko makubwa na kuhitimisha kwamba...
Habari Za majukumu wasomi wenzanu.
Nimeona C vibaya nikitumia fursa hii kuwapa muhtasari wa majibu tuliyopewa jana tarehe 13 October mimi na wahanga wenzangu wa NOT SECURED tulipokwenda...
Nisaidien wadau me nimetoka third selection kipindi wanatoa fursa ya kuomba kubadilishiwa vyuo sisi majina yetu yalikua bado hayajatoka, sasa binafsi gharama za saut sitoziweza nataja nihamie udom...
Mnakaribshwa wote kwa wale waliochaguwa Mzumbe kwa acourse mbalimbali Administration, Social science, bussines, economics na law. Karibuni Moro km20 from Moro mjini, friendly environment for...
Habari wakuu,
Chuo kikuu cha Dar-es-Salaam(UDSM) kimetoa majina ya waliofanikiwa kupata mkopo kwa mwaka wa masomo 2014/15. Nimeattach hapa chini na yapo katika mfumo wa PDF
Kwa mdau anayejua gharama na upatikanaji wa hostel binafsi au hata magheto ya kupanga kwa maeneo yanayozunguka Nit anijuze wakuu kwani niko first year pande hizo.Ahsanteni kwa michango yenu wadau.
Habari zenu WAKUU, nimeona vema tushirikishane katika hili kwa sababu kuna jamaa zangu kadhaa tumekuwa tukiwasiliana ili kuulizana na kujuzana ni yapi yanaweza kuwa ni mahitaji ya msingi ili uweze...
Inavyosemekana ni kwamba kuappeal huwa ni mwezi wa 12 ukishasajiliwa na chuo. Ambapo bodi ya mikopo huwa inatoa nafasi kwa wanafunzi wanaotaka kuappeal.
Ninachojiuliza, je mwaka huu appeal...
Mwaka jana niliomba chuo na nikapata. Pia niliomba mkopo ila sikupata hata asilimia 0. Kutokana na kutopata mkopo nilishindwa hata kwenda kiripoti chuoni badala yake ilinibidi kujipanga mwaka huu...
Wana Jf nimepangiwa chuo cha st. Joseph kilichopo songea ila kwa sababu zilizonje ya uwezo wangu na familia yangu sitaweza kujiunga nacho kwa sasa mpaka mwakan Mungu akijalia. Nichukue hatua gani...
habari za asubuhi waja jf kiukweli nimechaguliwa chuo cha Udom kupitia Nacte na nahitaji kuomba barua ya ruhusa kazini ila kikwazo kikubwa ni kuwa jina langu bado halijafika...
Wadau.. Humu ndani kuna uzi mmoja nilisoma wa Mdau ambae anasoma IFM ambae yuko mwaka wa 3, Mdau Hakupata Mkopo ila sasa ana miezi kadhaa kumaliza, nilipenda sana kwani haya kweli huwa ni mambo...
Kwanza Kabisa Nawapongeza LAPF kwa kuanzisha huu mpango wa kukopesha wanachama wake, maana wengne mafukara tulishaanza kukata tamaa ya kuendelea na masomo baada ya kufanya maombi HESLB mara kaza...
Inanishangaza sana pale serikali inapokosa pesa z kuwasomesha elimu ya juu watoto wa masikini,wakati huo huo ikiwa na pesa za kumlipa kila mjumbe wa BMK Tsh 300,000 kwa siku pia kumgharamia kila...
habari bandugu,
nina dogo hapa alikua anasoma Sua akamaliza mwaka wa kwanza course ya natural conservation ame disco.
Baada ya kupata matokeo hayo fasta aka aply tcu upya amepata sekomu bsc in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.