Hi wanajamvi.
Nina maombi mawili.
1. Naomba kama una list ya shule angalau 20 bora za mkoa wa Dar es salaam.
2. Pili kwa mwenye experience na shule za msingi za wahindi-yaani shule kama...
Nimeona ni vyema kuwe na uzi kwa ajili ya watu waliopangiwa post mbali mbali kujua wenzao wengine walipangiwa sehemu moja na pengine muanze kuwasiliana kabisa. Karibu!
Habari zenu viongozi...
Hivi vitabu vya kinunda vina update za hivi karibuni au ndo vya mwaka sabini vilevile...
maana nimetafuta nimevikuta vile vya mwaka sabini.
Wakuu naombeni msaada kuna ndugu yangu amechaguliwa Mkwawa bachelor of science in Education ila mkopo hakupata!
Nilivyoangalia sababu ni kuwa form yake haikuwa submitted huko loarnboard!
Kumbe...
Nimepewa title inayohusiana na masuala ya Big Results Now.lakini cjui wapi nitapata secondary source kwa urahisi maana ni kitu kipya.naomba msaada kwa anayejua mahali nitazipata kiurahisi au hata...
Hakika, kama hii hali ya utoaji mkopo itaendelea kwa miaka kadhaa ijayo, walimu hasa wale mnaosomea masomo ya arts mjiandae kusota na bahasha za kaki mkitafuta ajira hii ni kutokana na ukweli...
Habari zenu wana jf..mimi nimechaguliwa udom course ya BEDA nataka kuhamia BAED je ni rahisi kufanya hivyo na itakuwa na athari gani kwangu? Naombeni ushauri wenu juu ya kuhama kirahisi na kwa mda...
Kwa mwanachuo yeyote wa united african university of tanzania naomba anipe info za chuo kidogo, kwasababu naona sipati updated document internet znazohusu hch chuo kw xaiv
wanajamvi hii habar ilikuwa hot sana . cjui kinachoendelea mpaka . au walizungumza kwa sababu walitakiwa kuzungumza na sio kwamba walikuwa na cha kuzungumza......mwenye kuelewa kuhusu hili...
Nili-resit form 4 kwa hiyo nina namba ya S na P. Profileyangu ya HESLB inasoma S. NACTE, TCU na chuo inasoma P. HESLB nimeona nimekosamkopo, reason: NOT applied the loan. Je ni appeal au...
Habarini za asubuhi wanajamvi, naombeni kujua kwa wale wanaoweza kuwa na taarifa za uhakika za utoaji wa transcripts UDSM. Mie nlisikia eti mpaka muda wa graduation utakapofika hii ilinichanganya...
Mimi nashangaa sana watu wanakaa wanajadiri ooh viboko mambo ya kizamani!..ooh viboko ukweli ni kwamba mitoto ya cku hizi bila fito hainyooki, hata kama magenius wachache tz ila mbele ya kiboko...
Jamani nisaidieni kidogo ushauri nimechaguliwa UDSM education nikataka kufanya transfer TCU kwenda NIT lakini nafasi wakasema zimejaa nikaenda mpaka NIT nikakutana na mhadhiri ambae tunafahamiana...
Habari wana jamvi!!!!
Kwakweli hii inasikitisha sana pale ambapo kama taifa tunakosa vipaumbele vya kutukomboa na maadui watatu, Ujinga, Maradhi, na Che Che Mea
Iko hivi, tangu mkuu wa kaya atoe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.