Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani naombeni mawazo yenu mimi nilimaliza kidato cha 6 sita mwaka 2011 na kupata division 3 ya 15 na kupata principle moja na subsidiary but now nataka kurudia mitihani mitatu ili miwili yani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wana jamvi... samahani ningeomba mtujuze kwa wale mlioenda kwenye maandamano ya amani kule bodi na TAMISEMI maana sisi wengine tuko mbali na mji na pia wengine nadhani wameshindwa kufika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mwaka huu tcu wametoa selection kihuni waliodahiliwa kujiunga na elimu ya juu majina yao yametangazwa na vyuo walivyochaguliwa na huku wengi wakibaki na sintofahamu kwa kutoona majina yao. Hapo...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Wana jf ndugu yangu kamaliza f6 mwaka jana HGK kapata 2 ya 12 ila anataka kuapply chuo kitivo cha PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT. Je chuo gan wana offer hyo facult, na...
0 Reactions
57 Replies
18K Views
habarini wanajamvi! samahani naomba kujuzwa kama nafasi ya kukata rufaa bodi ya mikopo imetolewa maana hapa kichwa kimestak naona dalili zote za kutosoma kwa mdogo wangu na haya mambo ya not...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
kwa wale walioomba transfer kupitia tcu nadhani watakuwa na taarifa muhimu toka tcu,kuna wale waliomba mwanzoni kabisa majina mia 7 hivi yametoka kwenye net,kuna tuliochelewa kidogo kabla...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
inatakiwa tukubariane kwamba elimu ya tz ni bahati nasibu unaweza ukaomba course priority alafu ukakosa mwenzio kaomba non priority kapata usiumie ndo bahati za watu zilivyo nashauri yafuatayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf. Naomba kueleweshwa hii kitu nasikia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
eti jamani huku wilayani kwangu tuemtumiwa sms walimu wote tunakatwa tsh 25 katika mshahara wa mwezi huu kwa ajili ya maabara ktk shule za kata,,,Nahsi ni huku Lindi ktk wilaya moja niliko...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
habari, kuna rafiki yangu amepata scholarship algeria, anaomba ushauri kwa anayefahamu ubora wa elimu ya nchi hii na changamoto anazoweza kukutana nazo akienda huko?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau:. Rejea kichwa cha habari ... Naomba kujuzwa taratibu za kubadili chuo.... Sijaridhika na Elimu na Mazingira ya Open University of Tanzania (OUT).. Alisoma CBG na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
ni process gan zina chukuliwa kuhamishiwa boom na mkopo na huwa ina tumia km mda gani ..tusaidiaane pleas km ni process ndefu tubaki kwenye vyuo tulivyyo pangiwa tu
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba msaada kufahamishwa kuhusu coz "bachelor of education in pyschology"
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu Chuo kikuu cha Mzumbe wametotoa majina ya wanafuzi waliofanikiwa kupata mkopo kwa mwaka wa masomo 2014/15. Majina nimeambatanisha hapa chini na yapo kwa mifumo ya excel na PDF...
0 Reactions
83 Replies
23K Views
Wandugu naombeni msaada mwenye kujua majina ya tuliomba kuhama chuo yanatoka lini niliomba kuhamia Udom kutokana na kuchelewa kutoka haya majina nakosa amani kwani chuo nilichopangiwa awali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asalaam wakuu,, niko tabora vijijini ni mwalimu nina mizka miwili kazini. Nimepata nafasi ya kusoma digrii ya ualimu,nmepata pia mkopo,ila kigezo kikubwa cha kupata ruhusa toka kwa mwajiri ni...
1 Reactions
61 Replies
48K Views
Je na weza kusoma certificate katika chuo kingine then diploma nika apply DIT?
0 Reactions
2 Replies
929 Views
ndugu zangu kwa wanaokifahamu vizuri chuo kikuu kishiriki cha SMMUCO kilichopo Moshi ninaomba wanifahamishe ubora wa elimu inayotolewa na chuo hiki.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ndugu zangu wa JF ufike wakati vijana tujifunze mambo yanayo ikera jamii , ambayo tunayashuhudia kila siku kwa kuyaona ,kusikia hata kutendewa kabisa wakati tunafahamu fika si sahihi,.. Ndugu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi kibali cha kuajiri walimu kwa mwaka 2015 bado hakijatoka?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom