Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari, jamani m nimechaguliwa apo udsm nataka kuhama kozi ila ndani ya college iyo iyo, naombeni maujanja jinsi ya kuhama kirahisi na kwa mda mfupi ata ndani ya wiki hii, kozi nayotaka kuhamia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wana jf, ! Tafadhali husikeni na kichwa cha habari hapo juu...nina shida.
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Samahan ebu jaribu kufikiria pesa uliyotumia tangu unaanza darasa wa kwanza mpka hapo ulipo(masters au degree)umetumia milioni ngapi? Mfano tu elimu ya chuo kikuu(undergraduate)mtu unatumia si...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba yeyote mwenye contact za mtu ambae anafanya kazi st john university anisaidie achana na zile zilizopo kwenye email yao eithr mkuu wa pale director au hata professor au lecture yeyote...
0 Reactions
5 Replies
856 Views
wanafunzi wa Jordan-Moro walienda field kabla ya wa UDS zaidi ya wiki mbili.Cha kushangaza hatujapata pesa ya field lakini UDSM wamepata.Kwanini?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nimechaguliwa udsm kozi hiyo niliiweka mwisho tatizo langu siitaki ninaweza badilisha?
1 Reactions
21 Replies
4K Views
they discourage the hope of people
0 Reactions
1 Replies
904 Views
University students through their umbrella organ, Tanzania Higher Learning Institutions Students Organisation (Tahliso), have faulted the decision by the Tanzania Commission for Universities (TCU)...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Natarajia kufanya mtihani wa acsee 2016, kama mtahiniwa wa kujitegemea; je , naweza kusoma masomo matatu ambayo hayapo kwenye mpangilio wa tahasusi (combination subjects) bila kuathiri matokeo...
0 Reactions
9 Replies
14K Views
.
0 Reactions
174 Replies
27K Views
Naomba kumwangalizia mkopo mdogo wangu nipo ileje na tetesi wanasema eti mikopo imebandikwa chuoni.
0 Reactions
3 Replies
800 Views
hua najisikia vibaya sana kuona mwanafunzi wa chuo kuomba mkopo na kukosa mkopo inaniuma sana kwa kua na mimi nilikua miongoni kati ya wale ambao hawakupata mkopo ata senti tano na nimeishi bila...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Inasikitisha sana kwa wanafunzi wa chuo cha sekomu mwaka wa 2&3 kukosa mkopo, karibia nusu ya wanafunzi hawapo kwenye list iliyotolewa na bodi ya mkopo na mpaka sasa hawajapata muafaka, hivi ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nipo free kwa kipindi chwa wiki sita tu,hivyo napenda kutumia kipindi hiki kufundisha vijana wanaohitaji kufundishwa physics na mathemaics(ni kwa advance tu) lakini mwanafunzi huyo awe anaishi au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eti wakuu. Naombeni msaada maana nahisi kuchanganyikiwa nimemaliza 2013 na kupata alama 32 hadi sasa sipo kundi lolote, nimeomba ualimu hadi sasa sijapata kuona jina kurudi hadi sasa sielewi...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kuna uvumi unaozagaa mitandaoni na sehemu mbalimbali kuwa kwa wale waliokosa mkopo kwa mwaka wa masomo 2014/2015. HESLB wata release majina ya watu wengine watakao pata mkopo ifikapo jumatatu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu kuna mdau kanambia wahitimu wa kidato cha nne hawaendi tena teaching hadi wapitie kidato cha tano na sita. Mweneye ukweli kuhusu jambo hili naomba anijuze.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Naombeni msaaada wana jamvi tafadaharini nimechaguliwa hii course pale udom kuhusu upatikanaji wa ajira uko vipi na inahusu nini hasa,
0 Reactions
17 Replies
5K Views
NINATAKA KUJUA, wadogo zetu wanaanza lini mtihani wa form four mwaka huu? kwa mweney fununu tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom