Wakuu naombeni kujua kama majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo cha ualimu ngazi ya cheti 2014/2015 yameshatoka.
Kwa yeyote mwenye tetesi please anijuze.
ndugu zangu walimu na chama cha walimu cwt,kuna mwalimu shule moja iliopo makambak0 anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la mauaji,taarifa zilizotufikia toka kwa wana familia Wake zinasema...
We kama unajua mtoto wa familia ya kimasikini kwanini ujaze course zisizo na mkopo
.eti mtoto wa mama ntilie unajza chuo ka ifm wakati coz karibia zote za pale ni non priority.
kwa mliojaza coz...
Ukistaajabu ya musa utaona ya filauni hapa muhas first year ni wa ajabu sana eti wameweka classes kati ya shule zenye majina nchini na kayumba schools. Kwa mfano, discusion groups za wa2 wa mzumbe...
HABARINI WOTE.
Hapa ndipo akili pamoja na ufahamu wangu unaniambia kua TANZANIA YETU watu wengi(na maanisha wanasiasa, asasi za kiserikali na asasi binafsi na wakiwemo hao wanaojiita watetezi...
Wadau kwenye Website Ya Ardhi University wamewekaa Majina Ya Waliochaguliwaa kujiunga na chuo 2014/2015 Lakini Hayafunguki Tatizo Nini?
............................................
MAJINA YA...
Jamani sisi tuliopitia vyuo vya kati(diploma holders) karibia wote tumekosa mikopo ya kusoma elimu ya juu 2014/15 na wengi wetu tuliapply program zenye kipaumbele(priority) kama vile engineering...
Wakuu habar zenu,naomba ndugu zangu niwaulize
Nipo form5 PCM,maendeleo yangu mazur ya darasani yamenifaya kuingiwa na ndoto ya kusoma higher education nje ya nchi,je inawezekana mtu ukapata...
Jamani mbona tangu majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo yaanze kutolewa, napita humu kila siku sijaona chochote kuhusu Iringa university! Wala watu waliochaguliwa kujiunga ktk chuo hicho...
Chuo cha St Joseph kimebandika majina ya wanafunzi ambao wanaendlea na masomo chuon hapo ktk program ya 5 years degree waliopata mkopo kw mwaka wa masomo 2014/2015 huku idad hyo ikikadiriwa kama...
Habari zenu wakuu,
Please naombeni msaada, nilijisajili ktka chuo amabacho sjapangiwa na TCU, so mkopo umeingizwa chuo nilichopangiwa na TCU amabcho sasa hiv nataka niende.
Je ! nitasajiliwa...
hii itawahusu wale ambao walifanya transfer kupitia vyuo husika.
Itakula kwao.
Taarifa yenyewe ni hii hapa:
Tume ya vyuo vikuu tanzania (tcu) ina mamlaka kisheria kusimamia na
kuratibu udahili wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.