Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wana JF, ni ukweli usiopingika kwamba elimu ya Tanzania inazidi kushuka thamani hii inatokana na sitofahamu ya kuchanganya elimu na siasa. wanasiasa wamekua wakifanya maamuzi ya kisiasa kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hiv naweza kupata nafasi chuo gani hapa dar es salaam kusomea koz za IT au COMPUTER SCIENCE diploma au certificate kwa mwez huu wa 10
1 Reactions
5 Replies
9K Views
Habarini wanajamvi HIVI HAWA HESLB wanataka watu wote waliosoma michepuo ya ARTS wote wawe walimu mana ndo facult yenye priority kwa watu wa arts. PILI ina maana hizi kozi nyingine ni kweli...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habarini ndugu mimi nina hisi sio bure kabisa ni lazima kuna michezo michafu inayoendelea tcu .nilishangaa jana walipotoa majina ya watu waliofaulu kufanya transfer na bahati nzuri walikuwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habar ndugu zangun, mimi ni mwanafunz wa MUCE first yr nasoma Ed in science (Math) sasa naomba kujua kama mm kuchukua somo moja inaweza ikaniletea shida ktk swala la ajira...? Vilevile kuna...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ukiwapigia subiri batch zitoke ila uko selected na nacte, ukienda kabisa chuoni kwao jina halipo ukirudi nacte wansema nenda chuo Sasa huo utata ni vipi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima wakuu. Ni matumaini yangu kuwa hapa ndani kuna watu wanaohusika na vitengo ama taasisi nilizozitaja katika Subject ya post hii. Mnamo tarehe 14/9/2014, tovuti ya NACTE ilitoa majina...
1 Reactions
11 Replies
17K Views
ndugu wanajamii forum naomba kuuliza! Mimi nimechaguliwa udom Bsc. with education. Je, ni lazima nilipe gharama zote ndio nisajiliwe chuoni? na kama jibu ndiyo, inakuwaje kwa m2 asiyekuwa na...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Jaman wana jamii forum naomben msaada ni hivi mm nmeghairi na hizo transfer za tcu maana zmekuja late na huku chuon wamening'ang'ania. So itakua na madhara nikiacha? Naomben
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar ndugu zangun, mimi ni mwanafunz wa MUCE first yr nasoma Ed in science (Math) sasa naomba kujua kama mm kuchukua somo moja inaweza ikaniletea shida ktk swala la ajira...? Vilevile kuna tatzo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni vyuo vp naweza kupata koz za IT au COMPUTER SCIENCE diploma au certificate nianze masomo mwezi huu huu wa kumi.msaada jaman...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Jaman wadau humu ndani naamin kila mmoja wenu ni mzima, naomben mnifahamishe je majina ya waliochaguliwa kujiunga na udsm pamoja na matawi yake yaan duce, muce nk, batch 8 -10 ni pamoja na wale...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Mm naomba tujaribu kuangalia uwozo unao fanywa na TCU....kuna dada mmoja aliomba bsc of technology in agriculture engineering...aliomba st joseph kupitia TCU tawi la songea kama huamini angalia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni dhahiri inaumiza mabilioni ya fedha za walipa kodi wa nchi hii zinatumika katka matumizi yasyo rasmi, zimetumika pesa nyingi sana katika kamati ya kukusanya maoni ya rasmu ya katiba mpya, mwsho...
0 Reactions
141 Replies
14K Views
Habari zenu WAKUU, nimeona vema tushirikishane katika hili kwa sababu kuna jamaa zangu kadhaa tumekuwa tukiwasiliana ili kuulizana na kujuzana ni yapi yanaweza kuwa ni mahitaji ya msingi ili uweze...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Daa! Nchi yetu ni noma hawa jamaa wa TCU vp mbona hawatoi afu wanapiga calender kwa sasa npo TCU afu naambiwa leo jion cjui kama watatoa tumuombe MUNGU!
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Jamani mbona hata sielewi hapa inakuwaje mtu kaomba transfer lakini bado jina lipo chuo kile kile cha mwanzo mbaya zaidi na mkopo wake umepelekwa huko huko..hivi hapa kunakupona kweli au ndo...
0 Reactions
123 Replies
19K Views
Habr zenu. . Ebna wanafunzi ifunda tech watakiwa kurpot kwa awamu, wataanza form4,2,3,6,5 na mwsho form 1, source: gazet mwananchi
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunz wa udom.mwez wa 7-9 nilkuwa miongon mwa wanafunz waliofanya field lkn baada ya pesa kuingzwa kwenye akaunt za wanafnz mm skupewa japo nina mkopo. naomba ushaur nitafanyaj kupata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna maagizo kuwa kila mwanafunzi lazma awe na barua iliyopitishwa kwa m/kiti wa kijj,mtendaji wa kata na mkuu wa wilaya,nakala za muundo wa barua hizo zimetumwa jana kupitia anuan zenu hivyo basi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom