Zaidi ya Wanafunzi 200 wanaotakiwa kujiunga na elimu ya juu mwaka huu waandamana na kutinga hadi studio za ITV. Wakilalamika kunyimwa mikopo ya elimu ya juu ingawa wana vigezo vya kupata mikopo hiyo.
kutokana na mkopo utolewao na HESLB hususani 'tuition fee' kutokidhi mahitaji halisi ya wanachuo tulio wengi na hii ni kutokana na hali halisi za famila zetu. basi yeyote anayejua VYANZO VINGINE...
jamani wadau naomba tujadili kwa pamoja, ni nani anafahamu hatma ya wadogo zetu waliodahiliwa na private institution kwa ajili ya ualimu daraja la 3A?
maana huku mtaani ni mkanganyiko sana, kwani...
Tanzania Commission for Universities
CLARIFICATION ON THE TRANSFER PROCESS
The Tanzania Commission for Universities (TCU) would like to clarify to all the prospective students who applied for...
WanaJF naombeni msaada kwenu kwa anayefahamu. Ni course au program gani ya Masters degree anaweza kuchukua mhitimu wa BED Sc Biology zaidi sana kwa kudeal na Biology hiyohiyo. Mchango wako ni...
Nimefanya second round nimeandikiwa PROCESSED SUCCESFULLY YOU HAVE BEEN SELECTED niliomba geoinformatics apo ardhi university, so jaman naweza kubadili nkifika chuoni nikaenda geomatics mana...
Habarin za asubuh, mimi ni mmoja kati ya walio ktk janga la wanafunzi walio kosa mkopo mwaka huu, jana alhamis nimeona taarifa kwenye blog 1 iv et serikali kwakuwa imeona watu wengi wamekosa mkopo...
Jamani ndugu zangu ningependa kuwakumbushia kuwa msicheze peku Huko chuoni... kuna watoto wa mama salma.. Naongea hili baada ya kushuhudia mmoja wa wana chuo pale tumaini campus ya mwenge...
Hivi mtumishi anaponyimwa ruhusa na mwajiri wake kuwa asiruhusiwe kwenda kusoma eti hajakizi vigezo hasa kuwa kazini miaka miwili na huku chuo kapata na loan tena asilimia 90 ni halali ?
Na pia...
Ni zaidi ya miaka 50 tangu tujitawale wenyewe. nimetafakari sana kuhusu hali ya miundombinu ya shule kongwe za sekondari za serikali ilivyokuwa mbaya kwa sasa. hizi shule tumezirithi toka kwa...
Ndugu wanajamvi,
Awali ya yote niwatake radhi nitakao wakwaza kutokana na kauli zangu.
Sina lengo baya zaidi ya lile la kuboresha.
Ukitembelea majukwa mengi hapa JF, japo basi unaweza kutoka na...
Kwanza niwapongeze wale wote waliochagulia hapa chuoni kwetu (SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE ) kwa sababu mmepata bahati sana na pia hamtojutia kupata nafasi katika chuo chetu hiki kikongwe...
Nani kawaambia hayo? wengine tulifaulu vzr fm 4 na tulikuwa na sifa za kujiunga "A" level ila kwa hiari zetu tukaenda teaching as a right way of achieving triumphs,sasa wale wanaobwatuka2 eti wlm...
Siamini kama kwa mara nyingine nimekosa mkopo,kwani wakati nipo first year niliomba wakaninyima,nika appeal wakaninyima,nimeomba tena now holaaa,daah.
Sifa ninazo ila kila nikiomba wananambia...
At TCU wanadai waliopata transfer majina yao yanaanza kupelekwa vyuoni kesho..but kujiregister nako wanataka wajue percent yako ya mkopo ili waweze kuweka mambo yao clear...nao bod haifahamiki...
IMPORTANT NOTICE TO CONTINUING STUDENTS PAYMENT OF TUITION FEES AND DIRECT COSTS:
ALL CONTINUING STUDENTS ARE REQUIRED TO PAY TUITION FEES AND DIRECT COSTS FOR ACADEMIC YEAR 2014/2015 BY 30TH...
Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha St. Augustine, mwaka 2012, nilipata 100% loan from HESLB. Nafanya kazi private sector, kuna bwana mmoja alikuja mwaka jana akidai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.