Naomba anayefahamu taratibu za uhamisho wa kubadilishana kituo anisaidie katika hili, Je! mwalimu unapokuwa na Tsd no. na cheq no. zinatosha kwa ajili ya uhamisho au ni lazima tena uwe na barua ya...
Neno "mysterious" kwangu mie ktk issue kama hizi ndipo huchukua maada .
Distrust or lack of sureness of an alleged fact haiepukiki katika maumbile yetu binadamu .
Hebu fuatana nami mguu kwa...
Waandishi wa habari na maafisa usalama wapo kufuatilia mgomo polisi unalinda nguvu ya umma.
Leo tarehe 19, Novemba 2014, wanafunzi wamegoma kuingia darasan kwa sababu zilizotajwa kuwa kikwazo...
Habari Wadau.
Mimi nmehitimu chuo this year ila nina mpango mwakani wa kusoma bachelor degree nyingine. Naomba msaada wa procedures hasa pale loans board ili niweze pata mkopo tena sababu TCU...
Nianze kwa kuwashukuru kwa kuusoma ujumbe huu!
Mimi ninamiaka 27 kwa umri. Nimemaliza shahada yangu ya kwanza mwaka 2011 chuo kikuu kishiriki cha UDSM, hadi naandika ujumbe huu, ndio natimiza...
Wadau natafuta shule ya msingi ya bording ya kiislamu kwa ajili ya mwanangu, yenye sifa kitaaluma, maadili bora, iwe Dar es salaam, Moro au mkoa wa pwani na ada kati ya milioni moja hadi mbili...
Kuna mdogo wangu nimempeleka shule ya private, form five kwa iyo dision four je kuna tatzo ingawa ana credit tatu.
MSAADA TAFADHALI YANI NIKO NJIA PANDA JAPOKUWA DOGO ANAENDELEA KUSOMA...
Kumekuwepo na malalamiko ya uhaba wa vitabu mashuleni hivyo wanafunzi wengi kushindwa kufanya vizuri katika masomo yao. kama mdau wa elimu, nimeamua kujitolea kutoa msaada kwa wote katika masomo...
naiomba serikali kupitia TAMISEM na wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi isitishe ajira za walimu wa leseni walioajiriwa mwaka 2006 na 2007 kwa lengo la kuongeza ufanisi katika shule za kata...
Ofisi ya waziri mkuu tamisemi,wizara ya elimu na mafunzi ya ufundi,mamlaka ya biashara na huduma za nje tantrade pamoja na global eduction link wanatarajiwa kufanya maonesho makubwa ya kimataifa...
Natafuta chuo cha unesi diploma eneo la dar es salaam.Tayari nina certificate ya unesi kwa hiyo kwa sasa natafuta chuo cha kujiendeleza kwa diploma maeneo ya dar!Kwa mwenye kujua chuo chochote...
toka zamani nasikia walimu wa lesseni ila sijawai kuwaona, je wanasifa zipi na wanatofauti gani na walimu wa kawaida pia Utumishi wapo kama waajiriwa kama walimu wengine au wanawachukulia...
Jaman natarajia kufanya mtihan wa 4m 6 mwaka keshokutwa as private candidate, so ni vtabu gan vzur vya ku2mia kwa upande wa history, geography na kiswahil, but zngatia muhtasari mpya, asanten...
Habarini ndugu, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi nilikua naomba mnifahamishe vitu ambavyo mwanafunzi anatakiwa avifanye endapo amechaguliwa chuo fulani na amepata mkopo lakini hataki kusoma...
Ndugu zangu naombeni msaada wa kunisaidia nipate chuo na nianze ngazo ipi kulingana na point zangu mm nimeitimu 2013 nikapata division four ya point 18 nilikuwa nachukua PCM physic(F) chemistry(E)...