Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wakuu, Majina second batches udom haya hapa: 2nd_BATCH_2014-2015 PDF
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Jamani wameshatoa majina nenda kwenye website yao kwenye ile sehemu ambayo ilikua inaselection za wale wa certificate wameongeza za digrii na diploma simu yangu haina uwezo ningewawekea na link...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
We help students find admissions inthe best affordable and accredited international universities in China. Seatsfor PhD, Masters and Undergraduate-October, 2014 intake are still available...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za wakati huu jamani, Ndugu zangu, nimechaguliwa teku-mbeya, chuo kimefungua jumatatu, wao wanataka 565000/= ndipo wanisajiri. Kila ndugu ninaye mwomba hela japo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau naombeni ushauri ktk hili.. Chuo kikuu cha St. joseph university Arusha campus kilifungulia mwaka jana October nakufanikiwa kuchukua wanafunzi zaidi ya 500 wa fani ya ualimu ngazi ya...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kulingana na maelekezo waliyoyatoa kwenye website yao ni kwamba admission letters kwa wale wa hapa dsm tunaweza anza kuchukuwa tarehe 29 mwezi wa 9. Je kuna mtu ameshaenda kuchukua????
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanajamvi ntapataje admision latter ya DUCE kabla sijaenda kuripoti, maana jamaa wamesema hizo latter zitatolewa mara baada ya mhusika kuripoti eneo la tukio. Mwenye kujua namna ya kuipata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana ndugu, Natafuta mwalimu wa Geography kwa kidato cha 3 na 4, nataka kwa ajili ya mdogo wangu ambaye yupo sec, Sio lazima awe mwalim ila hata mwanafunz anaeingia chuo aliesoma...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, kwa tulioomba undergraduate programs kupitia nacte mimi mbona mpaka sasa profile yangu inaonyesha CHECK IN PROGRESS na nacte walisema kuanzia jumatatu ya leo tutaona kama tupo...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Ndugu zangu wana JF naomba ushauri,mwaka wa masomo 2013/14 nilichaguliwa kujiunga UDOM(BED-Policy planning and management) muda wa kuripot ulipofka sikuweza kuripoti kwasababu ya kuumwa,nilipona...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari, Waungwana nilimepata college kwa kupitia NACTE Je! nikitaka badil collge nitumie procedure za tcu ama zipo pia za nacte, Plz nisaidien kabla muda haujakwisha
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nini hawa jamaa wa Nacte wanakifanya •mf.mzumbe capacity illikua inaxoma 50 mpaka majira ya asubuhi but now ni 70 na Cbe walio omba kama chaguo Lao la kwanza walikua 107 tokea maombi yamecitshwa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu wana jukwaa, mie nina shida kidogo tu ila kwa kupitia jukwaa hili naamini nitapata ufafanuzi na usaidizi. Kie nina miaka kumi tangu nihitimu elimu yangu ya msingi na kwa bahati mbaya...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
GOVERNMENT SCHOLARSHIPS TENABLE IN THE REPUBLIC OF KOREA FOR THE YEAR 2015 The Ministry of Education and Vocational Training is inviting application from qualified Tanzanians for the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wakuu samahani mwenye kitabu cha Brutus letters to martha au A simple lust tafadhali tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Wana JF naomba kujuzwa, kwa anayefaham kiwango cha fimbo, anachotakiwa kuchapwa mwanafunzi pindi anapofanya kosa shuleni ? Maana huku kwetu St kayumba naona kumchapa mwanafunzi imekua fashion...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Nilikuw naomba advises zenu kusu hil jambo Kweny profile yangu inaniosha kuwa nimekuwa selected By St.johns university of Tanzania ambayo n main campus Ipo Dodoma Bachelor of Accounting and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira. Kauli hii kwangu inanipelekea...
2 Reactions
202 Replies
17K Views
Admission letters for degree programmes & special programmes diploma in science, mathematics and ict education will be available for download from thursday 02/10/2014 from 16:00for certificate and...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom