Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau ninaaply mkopo baada ya heslb kutoa chance ya wiki mbili za kufanya hivyo. Mimi nilimaliz form four mwaka jana na nimechaguliwa special program ya Udom. Lakini kwenye kujaza details kuna...
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Mimi mwny diploma ya Clinical officer naweza soma bachelor ya physiotherapy?naipenda sana naomba msaada wa mawazo?Asante
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ndugu zangu naomba sana kwa aneyeelewa vizuri haya mambo anifahamishe. Nataka kufanya mtihani wa kidato cha sita. Nilimaliza form iv siku nyingi ila siku bahatika kuendelea. Je naweza kusoma...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
majina hayaaa****http://www.nacte.go.tz/pdfs/MAJINA%20YA%20WALOJISAJILI%20LAKINI%20HAWAJACHAGUA%20VYUO.pdf***** MAJINA YA WALOJISAJILI LAKINI HAWAJACHAGUA VYUO STAGE KEY MEANING REG Only...
0 Reactions
0 Replies
14K Views
Wakuu nahitaji kusomea urubani niwe rubani maana nikiwacheki ile mijamaa inavyodunda pale uwanja wa ndege utafikri dunia yote yao. Tafdhali mwenye kujua chuo cha Urubani wa Ndege (sio Ungo)...
0 Reactions
15 Replies
14K Views
.....wataka mshahara wa posho ya Mbunge (BMK) kwa siku................ chanzo; Mtanzania 6/10/2014
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Wadau bila shaka mnaendelea vizuri na mapambano ya kuliendeleza taifa katika nyanja mbali mbali, wakuu kama mtakumbuka serikali ilitoa tangazo la nafasi za mafunzo ya ualimu kwa ngazi zote mnamo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa iv kwamfano umepangiwa chuo ilikuanza mwaka wakwanza alafu ukapatwa na matatizo ukashindwa kuripoti utafanyaje ili kuweza kuripoti katka chuo hicho kwa mwaka unaofuata au nafasi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada kunabaadhi ya wanafunzi tuliochaguliwa UDOM, Tumebadilishwa kozi kwa madai et kozi nyingine zina watu wachache. Mfano mim nilichaguliwa Bsc in Petroleum Engineering lakini...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Karibu wana jamii forum tuweze kushauria kuhusu maamzi ayafanyayo na wanafunzi wakati wanapoingia form three na kuamua kuyaacha masomo ya sayansi, hii hupelekea mwanafunzi kujutia hasa anapomaliza...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nisiku Kadhaa Zimebaki Ili Wale Wa Mzumbeni Turipoti Chuo Na Baadhi Ya Vyuo Wakiwa Wameripot Inasemekana Kama Chuo Chako Kimefungua Inabidi Mwanafunzi Aripoti Chuo Alichopangiwa Huku Akilipa At...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
je ada yako itarudishwa endapo utapata mkopo na ulishalipa ada ? Naomba msaada kwa watu wa udsm main campus...na vyuo vingine pia
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bango hilo lilikuwa na ujumbe uliokuwa ukilinganisha posho ya mjumbe mmoja wa bunge la katiba na mshahara wa mwalimu kwa mwezi. Bango hilo limezua mvutano kati ya walimu vijana na mwenyekiti wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
For more detail, tembelea website ya MUHAS, orientation tar 13 October 2014 Congrats n good luck ….
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hbari wakuu Jaman napenda kuuliza kwa anayejua hivi walimu wanaowafundisha manesi wa certificate na diploma wanasoma kozi gan? Natanguliza shukraan
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello Brothers and Sisters!Hongereni kwa Kuchaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu Bora Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hoja zenu nimeziona, naomba kuwapa majibu sahihi maana mimi ni mtangulizi wenu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mpaka leo tar 2/10/2014 heslb hawaja release majina ya wanafunzi waliobahatika kupewa mkopo kwa mhura 2014/2015, ukizingatia usajiri ndo huoo umeshaanza na wanafunzi wengine wanasubiria mkopo huo...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Nimekua nikifuatilia baadhi ya watu wenye pesa duniani na waliokufa wakiwa matajiri wakubwa hawakuwahi kufika vyuo vikuu na wengine waliacha. Bill Gates mmoja wa watu matajiri mwanzilish wa...
6 Reactions
36 Replies
10K Views
Ndugu wana JF. Naombeni msaada wenu kwa ajili ya kumuhamisha ndugu yangu toka shule ya day kwenda boarding na sababu ya msingi ni matatizo ya kifamilia, amekosa msaada kwa ndugu zake wa damu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za jion guyz naombeni msaada wenu wa kimawazo nimekua slected chuo cha mzumbe na profile yangu yangu ya NACTE yaonesha nmekua confirmed ila nkichek jina langu ktk list ya TCU jina langu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom