UJENZI WA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI NA KUKATWA MSHAHARA WA MWALIMU VINAHUSIANA VIPI? Hii ni aina mpya ya kodi kwa walimu? Au mishahara yao ni mikubwa mno serikali inafanya hivi kuleta usawa wa...
Chuo kikuu cha mtakatifu Agustino mwanza kina mpango wa kutimua watoto wote masikini, hii ni baada ya kupandisha faini ya waliochelewa kujisajili kwa asilimia 1000%, mwanzoni ilikuwa 10000 kwasasa...
cha kwanza nimeandikiwa selected katika profile yangu katika chuo cha ualimu green bird ODP arts''3rd-' ila kwenye orodha sipo apo inakuaje?
Pili lini tarehe ya kuripoti kwa wale wa 3rd...
ADMISSION LETTERS FOR DEGREE PROGRAMMES & SPECIAL PROGRAMMES DIPLOMA IN SCIENCE, MATHEMATICS AND ICT EDUCATION WILL BE AVAILABLE FOR DOWNLOAD FROM WEDNESDAY 01/10/2014 FROM 17:00
SOURCE...
Habari wakuu. Nimechaguliwa kupiga kitabu COICT pale. Napata wakati mgumu kuelewa mahali gani patanifaa kati ya university hostels na kupanga geto. Hii inakuja kutokana na kwamba bado sijajua...
Habari zenu wanajamvi!
Nimemaliza form six 2009 Milambo Sec school, mwaka huo nilipata nafasi kwenda kusoma Agricultural Engineering SUA. Lakini kutokana na kipato kidogo na kukosa mkopo sikuweza...
habar wakuu, mm n miongon mwa vjana walopata nafasi ya kusoma architecture mwaka wa kwanza. nataka kuuliza n vifaa vipi nahitajika kuwa navyo ktk mwaka wa kwanza wa masomo? msaada wenu ni mkubwa kwang
Kwanza POLENI SANA NDUGUZANGU AMBAO MAMBO YA CHUO HAYAJAELEWEKA HUSUSANI KATIKA KUWEZO KULIONA JINALAKO KATIKA CHUO FULANI.
kiukweli tunakutana na ugumu wa hali ya juu hasa kwa maswali...
Kwa mujibu wa nacte wenyewe form zitakua hewani katika website yao kuanzia kesho. Malipo ya elfu 30 yanahusika. Deadine yao sijui itakua lini zaidi ya yote juzi ijumaa walisema selections bado...
Habarini wanajopo mliochaguliwa kujiunga na chuo cha mkwawa.... taadhari ninayowapa ni kua usisahau kuja na boooonge la blanketi coz huku ni full baridi..... tena ndani ya chuo kuna baridi sana...
Habari wana Jf Nimechaguliwa kujiunga na shahada ya Elimu chuo cha SUA sasa natafuta mtu wa kunidhamini kulipa Ada pee kwa Mwaka wa kwanza ambayo ni Milion moja na laki mbili na elfu sitini na...
wasichana wa ifm,udsm,cbe,ustawi ndo kundi kubwa linaloongoza kujiuza club ambiance sinza wakitafuta ada za chuo na wengine waliookosa.....mikopo hivi viongozi wa vyuo vyenu wanafahamu hili
Book Description
This worldwide best-selling book highlights the most recent trends and developments in global marketing-with an emphasis on the importance of teamwork between marketing and all...
habari ndugu zangu wapenzi...mimi mpaka sasa nikijaribu ku download admission later nashindwa..sasa ninachokitaka ni msaada kwa anaefahamu hata gharama za mwanzo ili nijipange mapema zaidi me ni...
habari wakuu. Nina mdogo wangu aliomba chuo kupitia NACTE asa kwenye hizi second selection walimweka SAUTI MWANZA ambapo selection status alikua SELECTED but confirmation status hadi sasa hivi ni...
Tumeshuhudia vijana wengi wanavyo vaa humu vyuoni yaani wanawake na wanume mf milegezo(suruali chini ya makalio) kwa wanaume na kwa wanzetu wadada ni sketi za juu ya magoti na brauzi za maziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.