Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

naomba kuuliza ili nisajiriwe hapo chuon ni lazima niwe na chet original cha form six au hata nikiwa na result slip yatosha. Nilimaliza mwaka jana six.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu kwa ushauri wowote nifanyeje ili ninapo maliza mwaka wa tatu niwe mkufunzi kwenye chuo ninacho soma.
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Salamu wakuu, Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne wa mwaka 2013 na nilituma maombi ya kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya stashahada (hisabati/sayansi) na nilibahatika kuchaguliwa katika chuo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ifahamike kwamba kila kigogo alie ofisini amefika hapo alipo pamoja na mambo mengine ni kufundishwa na walimu kuanzia chekechea hadi elimu aliyo ishia kigogo huyo. cha kushangaza mwalimu bado...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wapendwa naomba kujua hicho chuo mwaka wa masomo kwa degree unaanza lini.kama unajua please nisaidie kwan web site yao haionyeshi.Thanks
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kuna wengine majina yao hayapo kwenye batch 2 lakini hapa kwenye new list yapo, try to check.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
  • Closed
Kasim Majaliwa Amenukuliwa Akisema Kuwa Waalimu Lazima Wakatwe Kila Mwezi Kwenye Mishahara Yao Kwa Ajili Ya Ujenzi Wa Maabara Za Shule, Najiuliza Yeye Anakatwa Ngapi Kuchangia Ujenzi Wa Maabara...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
HUKU ikiwa bado Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini (HESLB) ikiwa inasuasua kutaja majina ya Wanafunzi wapya watakaopata Mikopo wa mwaka wa masomo 2014-2015,kutokana na bodi hiyo kusema...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Wandugu.. maisha yangu ni magumu baada ya bodi kushindwa kutoa hela kwa wakati.. sasa nakula Mapapai asubuhi ilinijikimu maisha huku Mtwara ndugu zangu wa huko Dar es salaam, pamoja na wanafunzi...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
jamani..kama kuna vyuo vinavyoendeshwa kwa usumbufu basi..hiki chuo cha taifa Zanzibar kinaongoza..tangu watangaze majina waliochaguliwa kujiunga na chuo hiki..basi imekua tabu sana..kuipata hyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kupewa ufafanuzi zaidi kuhusu course hii kwa anayefahamu. KARIBU:angry:
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Waungwana kwa aliyekutana na tatizo ttz hili tafadhali aniambie alitatua vp ni mda mrefu ss kila nikisubmit code ya mpesa majibu yanakuwa ivyo na kila nikipiga namba yao ya help desk iko busy...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sijafanya second round application, profile yangu iko processed successful kati ya Arthi... Udsm.. Udom na Dit till now sijaona jina. Ndugu embu tusaidiane hapo...? Habari, Nenda katika link...
0 Reactions
147 Replies
27K Views
Tafadhali kwa mlioko st joseph ninahitaji kujulishwa gharama halisi kwa mwaka huu kwa 1rst yrs anayechukua kozi tajwa hapo juu. nawasilisha wadau.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu heshima mbele! nimechaguliwa kuja kusoma UDSM, sikuwahi kufika dar hapo kabla,mi mwenyeji wa Monduli!wakati nafanya maandalizi mama yangu ameninunulia blanket pia je kuna umuhimu wa kuja...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Mwenye kujua tafadhali nijuze kama usajili huo wa watahiniwa wa form six kwa mwakani kama umeshaanza,na kama umeshaanza ni lini unafungwa? kama haujaanza basi ni lini utanza? NAWASILISHA
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa heshima ya Mwl. Nyerere, Benki Kuu ya Tanzania(BOT) wametoa fursa kwa watanzania wanne (4) kwa ngazi ya undergraduate na watanzania wawili (2) kwa ngazi ya postgraduate/Masters kuwasomesha...
2 Reactions
42 Replies
23K Views
Ifm watoa majina kwa ujumla yaan plus additional batch http://www.ifm.ac.tz/phocadownload/latest%20application_form_2014_cert&dipl_mwanza.pdf
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada ndugu zangu jinsi ya kupata UDOM Admission letter make kila ukiingia ALIS wanataka uweke f.IV exam namba na Surname ka password ila ukiweka vyote inakataa! Msaada jamani make muda...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, jamani kuuliza si ujinga naomba kuuliza hivi utakitambuaje kama chuo unachosoma au unachotaka kusoma kama kimesajiliwa na NACTE na certificate yake utayopata toka hapo...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Back
Top Bottom