jamani nilikuwa naomba nifaamishwe kama majina ya first year muhas 2014/2015 kama yameshatoka au bado make mimi nimefuatilia saana lakini bado sijapata data kamili naombeni mnisaidie kunielewesha.
Nashangaa sana tatizi linajulikana, walimu hawana pesa, endapo watalipwa japo milioni moja tu kama cash kwa mwezi, mtashangaa.
wote wanaosemasema wanajisumbua tu. wengine wanafanya hili tatizo...
Jamani naomba msaada kwa yeyote mwenye contact au joining instruction ya Ifunda Girls Sec. School. Mdogo wangu kachagaliwa pale kwa mabadiliko yaliyofanyika juzi. Naomba mnisaidie jamani
Jaman kama kuna mtu kachaguliwa hapa naomba anielekeze japo mahitaji ya Muhimu, maana sijapata joining instruction au kama ulisoma hapa miaka michache iliyopita, maana hata sale sijui ni ipi
nimemaliza diploma mwaka huu nimeapply vyuo kadhaa mpaka mda huu sijapata majib bado profile yangu inaonesha checking in progress baada ya kuuliza nikaambiwa et one among liquirements ya kujiunga...
Heshima kwenu wakuu
Nimechaguliwa University of Bagamoyo.
Kilicho nileta hapa ni hiki pale tuna report kuanzia tareh 6 had 15 sasa katika kulizia harakati za hostel kwa watawala wa pale...
Habari za muda huu ndugu zangu. Naomba kujua ni jinsi gani naweza kureset my application kwenye akaunti yangu ya NACTE na je kuna malipo yoyote yanatakiwa kufanyika? Vile vile ningependa kujua...
Naombeni kdogo maoni yenu juu ya hili,
Tcu wanaonesha nimechaguliwa chuo cha MZUMBE (BECA), Lakini majina waliyotoa MZUMBE jinalangu halipo.. Hapo kuna tatizogani?
Oyaa! Halafu nyie jamaa mnae soma elim ya juu kwa fedha za mikopo halafu naomba mjue kwamba hzo ni kodi zetu kwahiyo mpango Wa kua na sim za laki 8 hata laki 3 tu Mimi naona mnazingua lakin pia...
Chuo nilichopangiwa kinafunguliwa tar6, nimefanya transfer sijajibiwa.
Je ni niende kuripot chuo nlicho pangiwa
Ikumbukwe ntakua nimeshalipa direct cost alaf nikipata transfer si itakula kwang...
Naona huu utaratibu umekuwa sugu hapa State University, leo Prof. Kihore anafanya muhadhara hapa Yombo 5, amekuja na mzungu wake, anafanya video shooting. Napata mkanganyiko kidogo, Profesa...
Habari zenu wakuu naomba kwa yeyote anayefahamu chuo chochote kinachotoa kozi ya human resource kuanzia pass 2 nimemaliza form four nina d-2,e-3 na f-2
Nyie nakte mmenipa aibu ya mwaka...mtaa mzma wanajua nasepa collg pale mzumbe but not selected. .kwa majina yao...ushauri tafadhali ninaweza omba open kwa mda huu na nikapata
Hi wana Jf.Kama nilivyo tangulia hapo ,kwa niaba ya vijana wenzangu wenye wazo Kama hilo la kutaka kupatiwa elimu ya uandaaji Wa mradi (project plan) Kama sijakosea . kwa udadi yetu ni vijana 25...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.