Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamaani nitaipataje adimission ya sua maana ck nazo zayoyoma vibaruani hawatoi ruhusa mpaka hiyo hapo.msaada wenu
0 Reactions
0 Replies
12K Views
vp hali wana jf mwenzenu nategemea kwenda kusoma course hii Bachelor of Arts in Geography and Environmental Studies katika chuo cha mwenge university collage of education ​kipo moshi... vp...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Mwenye kujua juu ya suala la certificate ya ualimu,maana hadi mwaka jana waliopata division 4 ya point 27 alikuwa na sifa ya kusomea ualimu wa shule ya msingi,mwaka huu hadi sasa sijaona tangazo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina certificate ya wildlife management pia advance nilisoma CBG nikapata div 3 ya point 17 kutokana na uchumi mbovu nilishindwa kupata cheti cha form six vipi naweza kuingia degree direct au...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
ninarafiki yangu ameishia form four na alipata division two ya point 18 lakin kutokana na matatzo ya kifamilia alishindwa kuendelea na advance,mwaka huu alichaguliwa kujiunga na chuo cha utabibu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza Kuwa ni ipi hatma yeti sisi ambao hatuja chaguliwa hata institution hata moja ila profile zina sema "PROCESSED SUCCESSFULLY.YOU HAVE BEEN SELECTED"
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapendwa wadau kwa mwenyeji yeyote ktk college ya Humanity and social science pale UDOM naomba anifahamishe machache juu ya taratibu za chuo kuhusu; 1.malazi kwa wanachuo 2.mavazi kwa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Tokea nimezaliwa miaka 29 iliyopita nimekuwa nikiusikia huu wimbo kuwa graduate wengi wa Tanzania hawana soko kimataifa kwa ufupi hawaajiriki. lkn pia kuna msemo maarufu unaosema graduate...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
http://41.93.31.136:8080/Selections_ODSEPE/index.jsp
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu Moja kwa moja kutoka site ya TUMAIN UNIVERSITY MAKUMIRA. MAJINA HAYA HAPA YA WALIOCHAGULIWA BACHELORS YAPO CHINI. MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO CHA TUMAINI MAKUMIRA
1 Reactions
35 Replies
17K Views
Applicants should note that the institution where they are allocated are the once they are supposed to report. For those who have applied for student loan if they are granted then their loan will...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nacte sasa imeanza kuonesha uhai kwa wanafunzi wa diploma baada ya sintofahamu kwa muda mrefu... Unaweza kuingia kwenye profile yako ukaona mabadiliko waliyoyafanya..
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Nina rafiki yangu alimaliza form four mwka 2010 na alipata division two ya point18, lakin hakuendelea na masoma kutokana na matatizo yakifamilia yaliyotokea na mwaka huu alichaguliwa kujiunga na...
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Habari; naulizia juu ya selection za hicho chuo mwenye info; naomba anifahamishe
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msaada tafadhali, nimechaguliwa St. Joseph University College of Information Technology-kipo songea ila cjui nitafikaje hapo chuoni, mwenye information za hiki chuo tafadhali.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kweli mambo ya nacte yanatutesa nafsi sana. Wameanza kuweka mabadiliko kwenye profile zetu lakini mabadiliko hayo nimaajabu matupu mf. Mimi wameniandikia eligible kwa facult mbili nilizoomba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wizara ya mambo ya nje, habari na mawasiliano (DARUSO) inapenda kuwataarifu wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dar es salaam 2014/2015 (Mlimani Campus) kuwa admission letter...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tukiangalia taratibu katika elimu yetu zinazidi kubadilika. tumeshuhudia mwaka huu waliochaguliwa cirtificate (diploma ya kawaida, kwa upande wa education) walikua ni wale wenye ufaulu wa daraja...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu mi nikiri ni moja ya waTz niliyesoma shule za jamii kabla ya shule za kata,lakini nilibahatika mpaka nilifika elimu ya juu na kuhitimu shahada ya kwanza pale SUA. Kwa sasa niko kazini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uknown
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom