Nmechaguliwa bachelor of computer science in software engineering. Je inatofaut gan na bachelor of computer science in information system? Je soko lake la ajira likoje? Na kama vp au nihamie hiyo...
Habar wakuu
Mwenye ufaham naomba anijuze yale majina ya waliochaguliwa st john ni kwa st john center zote au ni center ya dodoma tu? Nahtaj ya center ya dar es salam
Ahsante.
Jaman mm nimemaliza kidato cha 6,na nikaapply then tcu,wakaniambia niapply second round,lakn course zilizo ckuzitaka na mm nataka kuchukua mambo ya afya,na nimesoma CBG na point 12, baada ya hapo...
Wadau samahani kwa yeyote anaefahamu lini post za mweka znatoka atujulishe maana tunakaa na presha tu vyuo vingine washatoa ..mweka hata dalili hamna na siku zinazidi kwenda.
Wanajf nimeshangazwa sana na utaratibu wa shule ya Green Accres ya hapa Dsm kwa kitendo chao cha kuwaagiza watoto wanaosoma pale tena wanakaa boarding kwenda na pesa za tuition, wakati huo ada yao...
Jaman majina ya waliochaguliwa kusoma ORDINARY DIPLOMA FOR SECONDARY EDUCATION yalitoka yamechelewa ila nacte wakatuelekeza kuwa tuombe mkopo wakati muda wa kuomba mkopo ulikuwa umeishapita .je...
Kuna ambaye profile yake ya Nacte, haifunguki hadi sasaiv kama yangu?
Jaman selection tayari zishaanza kwa wale wote wa equivalent ( diploma ), ingien ktk profile zenu.
Wadau naomba mnieleweshe, TCU wametangaza majina ya waliochaguliwa na vyuo husika ndio vimeyatoa ila ninachashangaa wale tulioomba kupitia NACTE tulio wengi hatujachaguliwa yaani waliochaguliwa...
Pia kwenye account yangu (CAS) vyeti viondolewa (attachments) wameandika GPA yangu
Dear -----------------
You are informed that, basing on General Content of Study, Function of Programme (i.e...
Jaman mimi niliomba kusoma diploma pale MUHAS lakini mpaka leo nikiingia kwenye website yao sioni selection zao.Je ztatoka ln? Jambo hili linanichanganya sana kwa kuwa niliomba nafasi pale TIA na...
Note that only those who have paid at least 50% of the necessary fees will be allowed to register. Registration of first year students will be closed formally on Friday, 24th October, 2014.
Swali...
Salaam wana JF.
Natumia data analysis software (SPSS) nimekwama kwenye kipengele cha ANOVA jinsi ya kuelezea.
Mwenye kujua vema tafashali naomba anisaidie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.