Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

JINSI YA KUFANYA WINDOWS YAKO IWAKE KWA HARAKA. Kwa watumiaji wa Windows XP tu. Fungua Notepad (start >> all programs >> accessories >> notepad) kisha andika maneno haya ndani ya notepad "del...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
wadau nimeapply chuo cha mipango dodoma kozi ya ba in development economics lakini baada ya kumwambia mzazi wangu amesema chuo hiko ni kibaya bila kunipa sababu zozote na deadline imepita tayari...
0 Reactions
53 Replies
20K Views
jaman selectn za dit bado?...mweny info plz.guyz
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Naona vyuo vingi tayari vimeshatoa majina ya watu wa kujiunga na vyuo hivo ila DIT bado mwenye update na link anisaidie
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Heshima mbele wakuu. Nina mdogo wangu amehitimu kidato cha nne; ufaulu wake ni Divisheni 4 point 30. naomba mnisaidie chuo cha ufundi ninachoweza kumpeleka ili apate mafunzo yatakayo msaidia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wana jf nataka kufanya application kusoma degree kwa njia ya equivalent, nina credit mbili za o leval physics na mathematics lakin nimesikia kwamba kama auna credit tatu huu mpango auwezekani...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ndugu Zangu Napata Wakati Mgumu Kujua Chuo Nilichopangwa,nipo Interior Sna Naomb Yeyote Alofanikiwa Kufungua List Aniangalizie Badru M Alfan Index No. S.0939.0018.2003
0 Reactions
30 Replies
4K Views
the selected students to pursues various degree program at university of Dar-es-salaam are kindly informed that to visit the university web site and to red carefully all important requirement that...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wale wa CDTI majina hadharani MAJINA YA WALIOCHAGULIWA TENGERU (CDIT)
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Baadhi ya wanafunzi wa shule za kata wajihusisha na vitendo vya ngono ili kujikimu kimaisha kutokana kuishi gheto. Taifa letu linaelekea wapi? Uhuru.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ingia hapa kwenye website yao yapo! http://uoa.ac.tz/ To All Students who have been selected by TCU to join UNIVERSITY OF ARUSHA for academic year 2014/2015 kindly note that you are...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Naomba mwenye joining instructions ya Institute of accountancy Arusha (IAA) aniwezeshe hapa, au mwenye kujua jinsi ya kuiaccess maana nimeingia kwenye website yao sijafanikiwa kupata, hata kama ya...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Haaya sasa wale wa first batch tayari. Lakini sijui kuweka link aje mtu atupie. FIRST BATCH OF STUDENTS SELECTED TO JOIN UNDEGRADUATE DEGREE PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2014/2015 The following...
1 Reactions
106 Replies
36K Views
Jamani kuna vitabu viwil vya majina mum kimoja cha direct schime na equivalent schime applicants selected so sijajua kama kuna tofaut baina yao ama nini maana yake
0 Reactions
0 Replies
2K Views
sijui ninini? kwani wilaya ya ngorongoro mishahara imeingia nusu na wengi wao hawajapata ingawa tayari wapo kwenye pay roll. wengi wanasema kwasababu imetoka hazina direct hebu wenye uelewa zaid...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Habari wakuu, nina shida na kitabu cha hard choices, kimeandikwa na Hillary Clinton, nimekitafuta bookshops nyingi sikipati, kwa mwenye kujua tafadhali. shukrani.
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Naomba msaada wenu wana forum,kwa ninavyojua maisha ya chuo kikuu tofauti na skuli fee huwa kuna garama nyingi kama chakula na hostel na kwa mazingira ya udom ni lazima ujigaramie kwa chakula na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
nimekua nikishinda kwa mtandao kuchek selection katka vyuo mbali mbali mpaka na macho yanauma sasaa..... ila....nimekutana na selected applicant 1st batch maana sijaelewa nifahamishe...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu naulizia ka mtu anaijua vizur bachelor of commerce in finance ya udsm anipe details zaku humu
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Back
Top Bottom