Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa anayefahamu kuhusu course ya sua ya human nutrition na kuhusu ajira zake naomba anijuze
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimechaguliwa hii kozi Bach of environment heath science with information technology, je iko marketable au?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Joining instruction zs CHUO cha afya City College of Health and allied Sciences zimetoka ili uzipate kirahisi ingia WWW.city health college.ac.tz au piga 0769566282
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa kweli mimi kama mdau wa elimu inaniuma sana ninapoona kuna tasisi kubwa kama TCU kushindwa kusimamia vyuo kama kweli ina mandate kwa nini isilazimishe vyuo ambavyo vimepewa majina ili...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni vyema tukatambuana mapema ili tuweze kubadilishana mawazo kadha wa kadha...... kwa wale ambao hawajui mahali chuo kilipo... na mazingira ya chuo kilivyo asisite kuniuliza.... niko tayari...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waalimu nilienda kusoma bila ruhusa na nimeripoti toka 8/8/2014 na niliandika barua ya kurudishwa kwe payroll na ikapitishwa na Mkurugenzi na akapeleka suala langu TSD.Nimewasiliana na DEO kua...
0 Reactions
4 Replies
988 Views
Kindly be informed that the Chairman has on 4th June 2014 approved on behalf of Senate, a number of changes in the Almanac where the graduation dates which have been moved back by one week...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Waliokuwa wameomba angalia washatoa list.. www.uaut.ac.tz
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, hapo mwanzo ilikua ni kitu kipya kuona serikali ikishindwa kuyatolea ufafanuzi masuala fulani yaliyojitokeza hapa nchini hadi kuitwa dhaifu. Leo hii hadi taasisi zake...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Anaejua anijulishe
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Academic year 2014/2015 will start on 20th October instead of 13rd october
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jambo wa JF, Siku hizi matokeo ya mtihani wa darasa la saba yanapotoka yanaonyesha grade aliyopata mwanafunzi kwa kila somo, yani A, B+, B, n.k. Naomba wana JF wanaofahamu wanifahamishe hizi grade...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wote humu JF tunatumia smartphone nyingi ni zile zenye android systm na nyingine nying ni ukweli kuwa simu zetu zinatofautiana sana uwezoo katika kufungua mafile na vingine vingi pia wapo wanao...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
kwa walimu Wa English form 3 & 4. NiPM nikutumie uchambuzi wa unanswered cries.
1 Reactions
28 Replies
29K Views
Habari wakuu, Habari zenu wakuu nataka kujua juu ya hii facult BACHELOR OF EDUCATION WITH ICT inahusiana na nini? Natanguliza shukraan.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza. Mimi ni mutimu wa kidato cha sita, mwaka 2009. Lakini mpaka leo sijapata chet changu kila ninapofatilia shuleni sipewi majibu ya kuridhisha naomba mwongozo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wana JF Mimi nimechaguliwa kujiunga na chuo cha Kampala Dar sasa nilikua naomba kujua kuhusu admission letter yaani joining instruction maana kwenye website haipo na sijatumiwa kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mi ningependa sana kuchukulia degree yangu dit lakin nasikia kwa mwaka huu haitoi priority kwa wale wa A'level ktk swala la mikopo, inawapa priority wale wa diploma 2. na kweli ukiangalia katika...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Naombeni msaada nataka kwenda kuongeza elimu wapenda hivyo nataka kujua kuhusu vyuo hivyo KIU na OUT.maana nimeona KIU ada zao zipo juu tofauti na OUT. Ila nina mashaka na KIU kama elimu yao ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dear Students, Kilimanjaro Christian Medical University College trains health professionals of all cadres ranging from Diplomas, Ordinary Degrees, Post Graduate Degrees and Doctor of...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom