Nimejaribu kuangalia selection za vyuo vingi ambavyo tayari vimeachia majina naona vimepata idadi ndogo sana kulingana na hitaji ya kila chuo tofauti na sauti main campus vingine hata nusu ya...
Salamu wana JF,
Ninaomba msaada wa kujua utaratibu wa kufata unapotaka kuomba ajira ya ualimu wa sekondari serikalini kwa mwenye shahada ya kwaanza ambaye yuko kwenye mfumo wa taasisi binafsi...
Wakati wengi wetu tunasubiri TCU watangaze kozi ya kila mtu na chuo ulipochaguliwa, hebu tumia nafasi hii kupata maarifa kama:
Jinsi ya kusikiliza recture
Jinsi ya kutumia muda wako vizuri...
Habari zenu wanaJF,
Kuna ndugu yangu, kwa kweli ni mtu mwenye umri tena, 24years. na wala hana cheti cha form 4. alifeli kabisaaaa
sasa ameamua kusoma ili afanye mtihani aweza kupata cheti na...
Kama ulichagua Makumira basi fanya kupitia ktk website ya chuo uweze kuona majina hayo
The candidates listed below have been awarded admission to TUMA for the 2014/15 academic year. The...
Jamani naomba mnisaidie kuna mdogo wangu anasoma CBG alikua ananiuliza hivi kunauwezekano wakusoma moja kati ya kozi hizo na vipi kuhusu salary?
Naomba mnisadie wanajamvi.
chuo bado kinapokea wanafunzi wanaohitaji kujiunga na ualimu ngazi ya cheti na diploma, kwa ngazi ya cheti, sifa ni kwa yeyote aliyepata alama zizizopungua div4 point 27 Kwa mwaka 2005-2012 au...
African Barrick Gold (ABG) has pledged to invest more funds for the education sector in Tanzania to support the government's initiatives aimed at improving access to quality education in the...
Kama profile yako inasomeka hivi PROCESSED SUCCESSFULLY.YOU HAVE BEEN SELECTED pale chini kabisa ya my selection status, haumo kwenye orodha hii. TUKAZE MWENDO.
Salamu zenu wapendwa
Kutokana na experience ya hapa na pale, watu wameonekana kulalamikia physics ya A-level kuwa ni ngumu sana. Je! nini kinachofanya advanced physics kuwa ngumu? nini kifanyike...
St John's vision statement is; "To be a centre of excellence for developing humankind holistically to learn to serve"
Our aim is to provide a high quality holistic delivery of university...
JOINING IMESHATOKA KAZI KWAKO
Please download following important documents
Freshers' Joining Instructions 2014-2015
Pre-orieantation Information 2014-2015
Issuance of Admission Letters...
Hatimaye chuo cha elimu ya biashara CBE kimempata mkuu mpya ambaye ni eng. prof. Emmanuel Mjema.
Wadau mimi najiuliza inakuwaje injinia awe mkuu wa chuo cha biashara?
Hamuoni kwamba ni mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.