Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

wakuu selection ya hiki chuo imetoka?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WanaJF, Hakuna ubishi kwamba Billionia wetu mpendwa SAID BAKHRESSA a.k.a AZAM anamchango mkubwa katika uchumi wa nchi yetu na kwamba anangoza kulipa kodi, kwa hili anastahili pongezi. Lakini...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
The college of Business Education was established under the Parliament Act No. 31 of 1965. The College operates under the Ministry of Industry and Trade through the Governing Body which is its...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
HIZI HAPA SELECTION APPLICANTS SELECTED FOR ADMISSION INTO VARIOUS BACHELOR DEGREE PROGRAMMES 2014/2015
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Institute of Accountancy Arusha (IAA) is a parastatal educational institution established by the Institute of Accountancy Arusha Act of 1990. The overall control and supervision of the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Kwa wale wanaosubiria ivyo vyuo vnaweza kutoa list muda wowote source nacte ukurasa wa fb
1 Reactions
121 Replies
24K Views
kuna kitu kinaitwa kubeba yaani 1st year anashea chumba na mtu wa 2nd au 3rd...naomba nihabarishwe jamani hiki kitu kinaruhusiwa na zip faida na hasara zake!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilikuwa naomba kujua hz selection xa vyuo kuna watu wa equivalent humo au bado selection zao msaada jamen
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Waheshimiwa hivi karibuni marian college of law walitoa nafasi za kazi ikiwemo ya afisa utumishi, hivi interview bado?
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Wana jf naomba msaada wa kujua shule kumi bora (Top 10 best secondary schools in Dar es salaam), kama ikiwezeana nipate na gharama za ada kwa kila shule.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kupitia Shirika la Friends of East Africa Chieldhood Development Care and Education Tz, kwqa ushirikiano na Omep world (World Organization for Early Childhood Education ) Wanapenda kuwakaribisha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana jf naomba msaada kwa anayefahamu jinsi ya kuhama chuo
0 Reactions
27 Replies
7K Views
jamani wataalamu wamambo naomba mnisaidie,vyuo vyaualimu awatoimtokeo mengine maana nilisikia nawao watatoa tena 22sept au nilikua napewamatumaini tu?.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salam mdau wangu! Ulishawahi kujiuliza kipi wanafunzi wanatakiwa kufanya kwa kutumia tekinolojia? Siku ya leo nimependa kuandika makala yangu ya kwanza kwa lengo la kuhamasisha matumizi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa wale waliosoma hii kozi wanisaidie kidogo kuhusu soko lake!!
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Jaman mwenzen nilihitim udsm Bsc education udsm,na GPA yangu ilikuwa ndogo yaani nilikuwa na lower upper second ya 3.4,na masomo ilikuwa math na chemistry,vp kwa wenye uzoefu naweza pata post...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuhusu diploma ya Education hapo chuoni .nimeangalia 1st year wanaripot tar 18/10 ila kinachoshangaza nikwamba nacte walitwambia tutafungua tar 6/10 hvyo bac ufafanuzi wako nimuhimu sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pitia hapa kwa kUtupia coz yako uliyo chaguliwa ili tufahamiane vizuri..
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Mwenye link atupie
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nataka kujua kama watu wa equivalent yaan diploma wamo kwenye haya majina ambayo yanatolewa na vyuo mbalimbali au ni form six tu diploma wasubir nacte nisaidie hapo nijue.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom