Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ndg wana jf naomba kujuzwa kama kuna tofauti ya karo kwa mafunzo hayo maana nacte waliandika gharama ya mafunzo ya stashahada ya juu ni laki 6 but kuhusu mafunzo mengine hawajasema kuwa kiasi gan...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Mwenye kujua chuo kinachotoa masters za IT security au system analysis and design naomba anijuze tafadhali...........
0 Reactions
6 Replies
3K Views
ndugu zangu ni kwamba wadogo zetu hawaelewi utaratibu wa kuchaguliwa kujiunga na vyuo vikuu ...ni kwamba kawaida tcu huteua wanafunz na kuvipelekea vyuo majina kwa ajili ya kuyaprove ...kwa hiyo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa wote mnaosubr admission mnatakiwa kuwa wavumilivu kwa sababu hatuna jinsi ndugu zangu kwani tushadanganywa kama watoto,afu kwa wale wanaoleta hofu na huku hawaja ona kitu chochote wakome...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
My brother's and sister's...naombeni mnieleze ukweli kuhusu BACHELOR DEGREE IN DEVELOPMENT FINANCE AND INVESTMENT PLANNING inahusiana na nini and what am I expect to be after graduate?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Hey guys has anyone tried to log in in his/her TCU account today? coz I have tried this morning around 9:40am with failure and it doesn't give any error message.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
  • Closed
*150*44# kwa lain ya airtel then fuata maelekezo....
2 Reactions
195 Replies
21K Views
Hivi kama mtu amemaliza degree ya kwanza labda ya education kwa masomo ya physics na mathematics,je anaruhusiwa kusomea advanced diploma ya enginearing,na vip kwa aliyesoma degree ya education...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Msaada jaman kwa anaejua St. Joseph university Arusha campus first year wanaanza kuripot tareh ngap? Msaada tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
kwa anae ifaham iyo kozi apo juu, naomben mchango wenu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi wadau kuna ukweli wowote kuhusu maksi za continuous assessment kuchangia kwenye matokeo ya mtahiniwa ya mwisho,hapa naongelea kwa form 4 na form 6.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu naombeni nisaidien , nikisoma CBG naweza soma degree ya nursing au ya pharmacy?
0 Reactions
10 Replies
4K Views
  • Closed
Salamu sana wadogo zangu! Nawaletea majina ya walichaguliwa TCU kwa mwaka 2011/12 NB:- Kwa wale wadogo zangu Group B ,hamjawa allocated Mkopo toka HESLB but endeleeni kujaribu kufuatilia...
2 Reactions
35 Replies
17K Views
Hivi mtu akichaguliwa kusoma Bsc.nursing kwa miaka minne akimaliza anaweza soma MD KWa ufauli alio upata kutoka kwenye degree ya nursing? Na njia gani atatumia kufika huko kuanza kusoma MD? Msaada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tazama hii picha. Huu ni mtihani wa mwanafunzi wa kidato cha tatu, anategemewa awe kidato cha nne mwakani, kaishia kukopi maswali ya mtihani tena ovyo ovyo bila kueleweka na kuyakata kisha...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Selection wanatangaza rasmi jumatatu ya tarehe 22/9. Napenda kufahamishwa HESLB utaratibu wao upo vipi? Je selection huambatana na majibu ya mkopo? Thanks. Chum Kane. Stone Town.
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Habari za mchana wana JF?Jamani nisaidieni, hii Laboratory Technology ipo vipi ktk ajira?
0 Reactions
3 Replies
983 Views
habarini za sizi wana jamvi mimi kwenye application yangu ya second round chuo cha kampala ndo nimeandikiwa successful selected kwa bachelor of art with education sasa wanajamvi vipi kuhusu...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Admissions Announcement Applicants for the Academic Year 2014/2015 The Catholic University College of Health and Allied Sciences (CUHAS) [ Former, Weill Bugando University College of Health...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Back
Top Bottom