Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakati zikitangazwa nchi zenye matumizi ya smartphone Afrika na TANZANIA kushika nafasi ya pili nyuma ya Nigeria, Pia imetolewa chati inayoonesha matumizi ya simu za kisasa (smart phones) katika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
mimi ni mdau muhimu sana katika idara ya elimu maalum, kwanza kabisa elimu maalumu ni elimu ihusuyo au inayojali makundi yote ya watu wenye ulemavu mbalimbali, kama vileya watu wenyeuoni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jumuiya ya wanataaluma wa kiislam TAMPRO TANGA inatangaza nafasi za udhamini kwa wanafunzi 10 watakao faulu katika mtihani wa usaili wa kuingia FORM four utakaofanyika tarehe 26-27 sept katika...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomben kujua juu ya combination ya CBG ktk shule ya sekondari Milambo tabora vp wanafaulu? pia kna walimu? kwani nahtaj kumuhamisha mwanaf kutoka Nyakato Kagera,msaada jaman ndg wana jf.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama upo idara ya sekondari na unataka kuja jiji Mwanza (Nyamagana) pamba tuwasiliane. Nahitaji kwenda moja kati ya halmashauri zifuatazo: Ilala, Kinondoni, Temeke, Kibaha, Bagamoyo au Morogoro...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Hi! jamani vp kuhusu hiyo course ikoje hasa kwa case ya kujiajili na kuajiliwa.
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Kati ya hizo ipi soko lake la ajira lipo juu na maslahi yake yako aje? na ipi inafaa kuisoma
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Dah masela eeh! Hii kitu 'ADMITTED APPLICANTS' ipo under construction kama ilivyokuwa kwa ile IR', na IR yenyewe ilikuja kuwa active mishale ya saa tano sita hivi maana nilikuwa naifuatilia kinoma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimechaguliwa kozi ya BED-Policy planning and management. Je ni nzur kias gan?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Nimesikia Tetesi Et Kwamba Jamiiforum Ndo Wamevujisha Post Hzo Kwenye Ile Link,then Baada Ya Tcu Kutambua Ndo Wakaifunga
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Naweza kusema labda kuja simu za mkononi kumewasadia watawala kupumua maana tulisikia migomo kila mara vyuoni. Wanafunzi walipogoma sio kwamba ilikuwa hasara, bali mimi nachukulia ilikuwa afya ya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Nauza vitabu kwa wale wanaoitaji ni vya form six na five kombi ya science tu..BIOLOGY,, CHEMISTRY,PHYSICS..ila vimetumika bei maelewano tu 0713558839
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Kwa wale waliochaguliwa jordan university college tufahamiane hapa pia tujadili jinsi ya kupata hostel au vyumba vya kupanga, tarehe ya kuripoti chuo na jinsi chuo kilivyo nawasilisha
0 Reactions
19 Replies
4K Views
kama wewe ni muhusika hapo tufahamia ne first year karibuni wenyeji tushow love hapa pamoja
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Jumuiya ya wanataaluma Tanzania tawi la tanga TAMPRO linatoa nafasi kumi za ufadhili wa masomo katika shule yake ya Haki iliyopo karibu na Veta Tanga. Ufadhili huu ni kwa wnafunzi wa kike na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
msaada plz mm nimeomba mkopo bt ndio mwaka wa pili coz last yr nilikosa bt nasikia mkopo mwaka huu yatakoka mojakwa moja na post so sisi tunaoingia mwaka wa pili inakuaje.uck mwema wapendwa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari zenu, kuna rafiki yangu amechagua course hii kwenye second round selection lakini haifahamu vizuri, kwa anayeijua course hii ugumu wake upatikanaji wa ajira please atuambie
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu. Hivi inakuwaje kila shule ina vitabu vyake vya kufundishia wakati syllabus ni moja? Unakuta hata shule ziko jirani lakini wanafunzi wanatumia vitabu tofauti hawawezi hata kuazimana...
1 Reactions
37 Replies
15K Views
Aman iwe kwenu wapendwa, maisha yapo kasi sana na kila hatua ina maana km sio kwako moja kwa moja basi kwa jiran yako., ok ngoja niend kt point yang,baada ya kuzunguk sn kutafut mfadhl wa masomo...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau soko la ajira lipoje kwa hyo coz, na vp kuhusu field zake lazma upige kwenye shule za special need, au popote
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom