Wakati zikitangazwa nchi zenye matumizi ya smartphone Afrika na TANZANIA kushika nafasi
ya pili nyuma ya Nigeria, Pia imetolewa chati inayoonesha matumizi ya simu za kisasa (smart phones) katika...
mimi ni mdau muhimu sana katika idara ya elimu maalum, kwanza kabisa elimu maalumu ni elimu ihusuyo au inayojali makundi yote ya watu wenye ulemavu mbalimbali, kama vileya watu wenyeuoni...
Jumuiya ya wanataaluma wa kiislam TAMPRO TANGA inatangaza nafasi za udhamini kwa wanafunzi 10 watakao faulu katika mtihani wa usaili wa kuingia FORM four utakaofanyika tarehe 26-27 sept katika...
Naomben kujua juu ya combination ya CBG ktk shule ya sekondari Milambo tabora vp wanafaulu? pia kna walimu? kwani nahtaj kumuhamisha mwanaf kutoka Nyakato Kagera,msaada jaman ndg wana jf.
Kama upo idara ya sekondari na unataka kuja jiji Mwanza (Nyamagana) pamba tuwasiliane. Nahitaji kwenda moja kati ya halmashauri zifuatazo: Ilala, Kinondoni, Temeke, Kibaha, Bagamoyo au Morogoro...
Dah masela eeh! Hii kitu 'ADMITTED APPLICANTS' ipo under construction kama ilivyokuwa kwa ile IR', na IR yenyewe ilikuja kuwa active mishale ya saa tano sita hivi maana nilikuwa naifuatilia kinoma...
Naweza kusema labda kuja simu za mkononi kumewasadia watawala kupumua maana tulisikia migomo kila mara vyuoni. Wanafunzi walipogoma sio kwamba ilikuwa hasara, bali mimi nachukulia ilikuwa afya ya...
Kwa wale waliochaguliwa jordan university college tufahamiane hapa pia tujadili jinsi ya kupata hostel au vyumba vya kupanga, tarehe ya kuripoti chuo na jinsi chuo kilivyo nawasilisha
Jumuiya ya wanataaluma Tanzania tawi la tanga TAMPRO linatoa nafasi kumi za ufadhili wa masomo katika shule yake ya Haki iliyopo karibu na Veta Tanga. Ufadhili huu ni kwa wnafunzi wa kike na...
msaada plz mm nimeomba mkopo bt ndio mwaka
wa pili coz last yr nilikosa bt nasikia mkopo
mwaka huu yatakoka mojakwa moja na post so
sisi tunaoingia mwaka wa pili inakuaje.uck
mwema wapendwa
habari zenu, kuna rafiki yangu amechagua course hii kwenye second round selection lakini haifahamu vizuri, kwa anayeijua course hii ugumu wake upatikanaji wa ajira please atuambie
Habari zenu.
Hivi inakuwaje kila shule ina vitabu vyake vya kufundishia wakati syllabus ni moja? Unakuta hata shule ziko jirani lakini wanafunzi wanatumia vitabu tofauti hawawezi hata kuazimana...
Aman iwe kwenu wapendwa,
maisha yapo kasi sana na kila hatua ina maana km sio kwako moja kwa moja basi kwa jiran yako., ok ngoja niend kt point yang,baada ya kuzunguk sn kutafut mfadhl wa masomo...