Mimi mwalimu kutoka wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mkoa wa Arusha,Kilimanjaro au Tanga idara ya msingi.kwa mawasiano zaidi 0753624792
Jamani kuna utofauti gani kati ya:-
1)Bachelor of education in adult and
community ,
2)Bachelor of education in adult education and development na
3)Bachelor degree in adult and...
Habari zenu wapendwa???
Natumaini wote mpo salama.
Naomba niwasilishe mada yangu ambayo imekua ni tatizo kwa watanzania wengi kuhusu elimu ya A-level.Hivi ni vigezo gani mtu anatakiwa awe navyo...
Wadau naomba mnifahamishe vzr kwa wale mnaojua Kuhusu hii kitu pamoja na Qualification zake kwa upande wa open univercity au hata collage
Sent from my Moaberry
PUBLIC NOTICE ON ADMISSION STATUS INTO HIGHER TRAINING INSTITUTIONS 2014/2015
Central Admission System (CAS) opened on 8th April 2014 and closed on 31st August 2014. A total number of 17,087...
Naomba msaada juu ya hili...kupitia Certificate na Diploma kwenda Degree na kupitia Advanced level kwenda kusoma Degree, kipi ni bora zaidi na if possible mtoe maelezo kidogo. Shukrani sana
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka 2013 PCB.
Nikapata EED na form four nilipata div 2 ya 21. Sasa nilikuwa nafikiria kusoma diploma ya ENVIRONMENTAL SCIENCE pale MUHAS.
nilikuwa naomba...
Habarini wana jamii forum mimi nauluza kuhusu hizi joining instruction za chuo baada ya kua selected je unatumiwa kwenye email yako au utaipata wapi na je huwa zinakawia sana au saelection...
Wakuu naomba anayejua ni wapi kwa hapa TZ chuo gani wanafundisha kozi za GIS na gharama zake pamoja na muda wa kozi kama ni certificate au diploma kama itawezekana
Habari zenu wanajamvi, kama kuna mtu anaelewa kuhusu hii coz(technology in agriculture) inayo tolewa chuo cha st joseph kuanzia masomo yake yakoje,sehemu ambazo naweza kupata kazi na chengine...
NACTE ilitoa tangazo kuwa wanaoomba uhamisho diploma health program wanaombwa itakapofika 18 sep wasitishe zoez hilo ili wapishe zoezi la kuomba ufadhili litakaloendelea had tar 25 sep na ndipo...
Yani idadi ya raia tunaopiga supp hapa ni kubwa sana, utadhani chuo kishafunguliwa vile. Nimekutana na kundi la vijana flani wa kizungu ambao nao wamedakwa wanalalamika kwa kusema mfumo wa elimu...
Ukistaajabu ya Bunge la Katiba utayaona ya TCU.
Ama kweli taifa letu la Tanzania linauliwa na Watanzania wenyewe hebu ona uozo unaofanywa hadharani na TCU kwa kufanya mambo hovyo hovyo kabisa...
Naitwa abel kikimba ,nimkazi wa Iringa,natokea katika familia yenye hali ya chini sana kiuchumi, kias kwamba kwa elimu ya sekondari nimejisomesha hadi hapa nilipofikia,kwa sasa nimechaguliwa...