Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wanaJF! Nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu mwenye kujua chuo kilichosajiliwa na kinachotambuliwa na serikali kinachotoa kozi ya Uuguzi na Ukunga kwa ngazi ya cheti/stashahada...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari zenu wana Jamii forum. naomba kuuliza kama ili linawezekana maana liko nje ya uzoefu wangu.. Nimepata scholatrship ya kusoma Japan (masters degree by research). sasa baada ya kuaply kwenye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa Tanzania watu wanasema ama kwa kumaanisha au kwa kutania kuwa fani iliyokosa mwelekeo na yenye watu waliokosa la kufanya na maskini ni ualimu. Lakini Jack Ma Yun maarufu kama Jack Ma kitaaluma...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nina weza pata chuo nimemaliza kidato cha nne mwaka 2010 nina four ya 28 naweza pata nafasi DIT au??????msaada
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina binti mwenye miaka 4 na miezi 7 sasa ! kutokana na uwezo wake wa kuchnaganua mambo nilijua ataanza shule akiwa na miaka 5 tu ! Lakini cha kushangaza amekuwa mzito ,hadi sasa hajajua kusoma...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Norwegian Government offers Quota Scheme for Developing Countries' Students to study at selected Norwegian Universities. The scheme normally includes courses taught in English at Master's and PhD...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, mwenye info juu ya ukomo wa kutuma maombi ya shahada ya uzamili ( Open University ) anijuze please
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello wana jf Naomba nijulishwe kama tcu bado wanapokea maombi ya chuo ...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndugu hiv ukichaguliwa unatakiwa kuomba mkopo helsb? kama ndio hivyo mbona deadline 10sept2014 wkt matokeo yametoka 14sept2014? Nisaidieni wadau.
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Wadau nadhani mnanipata vizuri, vp kuhusu hawa waliohitimu digrii ya Education wao hawapelekwi JKT? Mwenye tetesi yoyote kuhusu hilo tujuzane. Ni hayo tu wadau.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
1.What are the ways used to present Historical events. 2.What are the ways used to get Historical information? 3. What are the ways used to get historical events? 4. What are the sources of...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari zenu wanajamvi, naombeni ushauri katika hili. Nahitaji kusoma diploma online, Naomba mwenye uelewa ni chuo gani cha nje chenye tawi hapa dar au cha ndani ambacho ni kizuri kwa wanaosoma...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ndugu watanzania wenzangu naomba tuangalie suala la elimu na hasa kuhusu suala la ujenzi wa mahabara katika shale zetu za kata. Serikali inamtaka Lila mwananchi aahiriki katika ujenzi wa maabara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
"Anyone who stops learning is old, whether at twenty or eighty. Anyone who keeps learning stays young. The greatest thing in life is to keep your mind young.Henry Ford" Ni dhahiri kuwa nchi...
2 Reactions
71 Replies
9K Views
Matokeo ya mitihani kwa supplementary ya Dar es salaam istitute of technology yametoka jana tarehe 17, kwa idara zote matokeo yamekua mabaya sana maana kwa diploma wengi wanarudia mwaka "retake"...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Wakati wa kujaza fomu za mikopo ya elimu ya juu(Heslb) kuna kipengele cha kuwekwa sahihi na hakimu/wakili.Na kwenye mahakama zetu walikuwa wakitoza sh.5000/= mpaka 10,000/= ili kuweka sahihi...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
MABINTI PACHA WALIOUNGANA KUHITIMU KIDATO CHA NNE HATUA ya kwanza ya ndoto ya kuzama katika elimu ya mabinti pacha walioungana kiwiliwili, Consolata na Maria Mwakikuti (18) wa Kijiji cha Ikonda...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Shule ya sekondari kizomla iliyoko kata ya Mkamba wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani ina wanafunzi wawili tu wa kidato cha tatu. Shule hiyi iliyoko umbali wa takribani km 80 hivi kutoka mkoa wa Dar...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
hiv wale ambaw hawakuchaguliwa fist selection na TCU na second selection available slots hazikuw ndio lengo lao, mnawashauri nn au watatimiza vp ndot zao hasa ndugu zetu wa CBG na PCB
0 Reactions
11 Replies
3K Views
serikali imewaacha wadogo zetu haijawapeleka katika vyuo vya ualimu je ndo basi au wana mpango gani juu yao au ndo elimu yao imeishia hapo naomben msaada wenu kwa ufafanuzi zaidi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…