Nafahamu mtakua na mchecheto sana wa kutaka kuyafaham maisha ya chuo yalivyo hasa hapa SAUT main campus.. kwa hiyo kwa mliochaguliwa hongereni jamani. Kwa yeyote mwenye swali kihusu SAUT Main...
Nina mdogo wangu aliapply medical na pharmacy katika vyuo vya MUHAS, KCMC, Bugando n.k lakin amekosa nafasi.
TCU wakamletea second selection achague koz nyingine katika vyuo vingine mimi nikampa...
WALIMU wa secondary wilayani KILOLO wametakiwa kutoa fedha tsh.10000 kila mmoja na sh.500 kila mwanafunzi kwa ajiri ya ujenzi wa maabara wilayani humu. taarifa zinasema kuwa fedha hizo zitakatwa...
Habar zenu wanajamvi?
kuna rafik yangu yeye kaomba chuo mwaka huu -2014, sasa anauliza kama kuna uwezekano wa kuahirisha mwaka wa masomo,aanze mwakani {2015/2016;je! ataweza kukubaliwa? na...
Naitwa Abely,ni mkazi wa iringa,nina kipaji cha uandishi wa riwaya na mashairi,ninatafuta mdhamini ambae yupo tayali kuiendeleza kazi yangu,mimi mwandishi ambae najiamini kuwa naweza na endapo...
Kwa yeyote anaye weza kunipa press contact za LONGIDO SECONDARY NTASHUKURU SANA.
HASA NUMBER YA SIMU YA MKUU AU ACADEMIC SCHOOL NINAMDOGO ANGU KACHAGULIWA SECOND SELECTION NATAKA KUJUA SUALA LA...
Habarini wanajamvi napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
Naomba kuuliza swali eti wale waliopita kwenye first round ya TCU wanauhakika wa kupata vyuo moja kwa moja au hata wao...
TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES(TCU) URGES ALL STUDENTS THAT APPLIED FOR THE UNDERGRADUATE DEGREES FOR ACADEMIC YEAR 2014/15 TO TAKE THEIR RESULTS SLIP AND LEAVING CERTIFICATES FROM THEIR...
Habari,
Mdogo wangu amesoma PCM na kapata division 4 na grades zake ni DDC.
Kaniachia jukumu la kumchagulia chuo kupitia CAS, angependa kusomea Civil Engineering. Je kwa ufaulu huo anaweza...
Ijapo kuwa profile zetu;zimeandikwa YOU HAVE BEEN SELECTED,na bado hatuna uhakika wa kupata hivyo vyuo ;kutokana na mdau mmoja kusema "mchaguzi utafanywa tens ktk chuo husika"je kuna ukwel hapo...
Wana jamvi nina shida ya matokeo ya acsee necta mwaka 2014 lakin siyaon website ya NECTA plz mwenye nayo anitumie kwenye email yang rashidj066@gmail.com
Habar zenu kwanza, hoja yangu mm ni kuhusu hawa jamaa wanaotunga sms na kusambaza kwa wa2 kila cku kuhusu hawa TCU, sielewi nia yao wanataka kuwatia wenzao presha au wana malengo gan?
Tusaidiane...
Wadau toka vyuo mbal mbal vyuo vyenu vinaruhusu mtu mwenye sup na special kufanya vyote? maana hapa iaa ni shida hurusiwi inabid uanze na special then til mwaka ujao unafanya sup nkimanisha kwamba...
Naomba msaada wenu sababu nimejaribu kuwapigia TCU simu haipokelewi;
Ni hivi nlikosa 1st selection, nika apply 2nd selection, wakaniambia, CONGRATULATIONS YOU HAVE BEEN SELECTED.
Sasa hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.