Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Salaam wana JF Naomba kuulizia kuhusu hizi nafasi za walioomba kujiunga na vyuo vya ualimu (Certificate level) kwa waliomaliza form IV. Nimejaribu kuangalia threads zingine naona ni nafasi za...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari ya mchana wakuu,naomba mwenye soft copy ya hii novel anisaidie,kwa ku ni pm. Natanguriza shukrani tele.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je mtu wa cbg anaweza kusoma udaktari!!!
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu, Kwenye cheti changu cha kidato cha nne cha mwaka 2005 nina Agr C, chem C, bio D na engl C, math F, geo D, phy sikusoma. Nalenga kusoma certificate ya kilimo au afya. je...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
URGENT. Kama unamfahamu kijana wa kiume yeyote aliyemaliza form6 mwaka huu (combination ya science ya PCM...PGM.)...mwenye division 1 OR 2..Mwenye miaka 19 or 20 anatakiwa kwa ajili ya kwenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
yeyote aliechaguliwa open university ktk koz ya bachelor with science with education naomba tutafutane
0 Reactions
12 Replies
2K Views
NACTE tayari wametoa batch ya kwanza kwa walio omba vyuo vya ualimu kupitia cas majina yapo kwenye website
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Naomba kujuzwa juu ya hili, kuna guide book ya TCU na ya NACTE? Ukiangalia TCU guidebook ya 2014/2015 St. Francis university (Ifakara-Moro) inatoa Bachelor of MD tu lakini ukiingia kwny website...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani NACTE wametuelekeza kuwa tuombe mkopo ila tar ilishapita ya mwisho yaani heslb walitangaza kuwa tar ya mwisho kuomba mkopo ni tar 10th september wakati majina nacte wameyatoa tar 14th...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wanajamvi naomba mnifahamishe vyuo vya private vnavyotoa diploma ya MD na vyenye nafasi ya masomo 2014/2015 thanks wakuu
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Nimelazmka kufungua uzi huu ili tupeane ufahamu na uzoefu ktk mas'ala ya HESLB loan allocation na Chuo. Ndg. zangu FIRST YEARS suala la "disbursement" ya mkopo toka HESLB haliangalii "Chuo...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
JAMAN KUNA RAFIK ANGU KAMALIZA MWAKA JANA FORM 4. SASA ANAHITAJ KUJUA ADA YA PALE NI KIASI GAN MANA KAPATA 3 YA POIN 31 AF HAJACHAGULIWA, YAN ,ENGL B+ KISW B HIST D BIOS D GEO D CIV D MATH...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini wanaJF mimi nna mdogo wangu amefanya diploma katka course ya engineering na pia aliapply kupitia NACTE lakini hadi leo hajaona mwelekeo wowote. Naombeni mwenye taarifa nzuri juu ya hili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yeyote aliye na maswali kwa nyie wanafunzi wapya wa SAUT kihusiana na course ya mass comunication bas aulize hapa nami ntamjibu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni msaada wenu jamani. Nilisoma PCM A-level nikapasi je naweza kuapply udaktari? Nina A ya biology O-level. Asanteni.
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Wakuu wa hii kaya. Naomba msaada wenu kwa kunijuvya ipi ni degree nzuri kwa mtu aliyechukua HGE kwa advanced level na kufaulu vizuri. Na maanisha ipi yenye future nzuri na prospect ya kupata ajira...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Kwanza hongera kwenu vijana mliochaguliwa UDSM mlimani campas. Ila ninachopenda kuwaambia UDSM ina mazingira mazuri sn ya kusoma lakini sio kupiga usingizi kwani kubebana ni jambo la kawaida...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau mimi ni kijana nilikimbia shule nikiwa form one but now naitaj kurudi school november 13th ila nitasoma QT na ndoto yangu ni kuwa Engineer wa electronics zote i mean computer na vifaa...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Nawasalimu na kuwapongeza wote mliofanikiwa kuchaguliwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Kampasi zake mbalimbali. Wote mliochaguliwa JK Nyerere Mlimani, MUCE,DUCE na SJMC nawakaribisha kwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
ukiwa umepangiwa hapo niulize chochote ntakujibu sasa hivi
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Back
Top Bottom