Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Samahani ndugu naomba nipate mchanganuo wa masomo ya hyo cozi ya mastaz ya marketing management
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msaada kwa anaepafahamu au aliyesoma hapo. Yaani nataka kupajua maisha yake. Naweza kwenda na MACBOOK yangu(laptop).
0 Reactions
18 Replies
11K Views
Wadau naomba mnijuze maana halisi ya BRN. Maana naona kama linatumiwa na watu ndivyo sivyo. Badala ya kuwa in positive way sasa linatumika in Negative way. Hebu tujuzane wakuu nawasilisha...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
kwa taarifa yenu leo nilikua makao makuu TCU wakatuambia kigezo walicho tumia kuchukua wanafunzi wa MD ni lazima uwe na cutting point min ya 10.5 kwa masomo yote matatu (principle sub.) Nawaonea...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari wakuu, Jamani vip TCU wanasubir nin tena baada ya kutoa post?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama yupo anayefahamu mambo yatakuwaje...itasomwa kwa mfumo gani au ni uleule wa stashahada za kawaida. Nauliza maana hii ni ya maika mitatu(3) na ada pia imepandishwa mpaka laki 6 kwa mwaka maana...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nimemaliza form six 2014 nimepata C, B, B, kwa comb ya PCB respectively .
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF najua humu ndani tumetofautiana sana kwa kila kitu...kama utakubali kuwa hata vidole vya mkononi mwako haviko sawa basi ndivyo hivyo tulivyo tofautiana humu ndani..kuna walio...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa wote wanaotaka kujiunga na open kwa ajili ya kusoma hizi course piga namba 0779888204 au 0713478730 karibuni
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jama nilikuwa nataka mnijuze kuhusu computer Engeneering ya Mbeya ni kwel kwmba haina mkopo maana nmeona possble loan pale ni 0 ?!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jaman naomba kufahamu kama majina ya walioomba mkopo heslb yametoka au bado
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau me nimechaguliwa bachelor of pharmacy KIU, ila naipenda sana medicine je kama nitachukua degree ya phamacy baaday naruhusiw kuja kusoma masters ya medicine ?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Jamani hivi ili mtu aliyehitmu diploma ya engineering apate mkopo HESLB anatakiwa o -level awe alipata ngapi? kuna mtu nimeskia anasma mpaka awe na c 4
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeona maelezo kwamba zinapatikana kwenye website za United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training, The National Council for Technical Education na PMORALG | Prime...
0 Reactions
2 Replies
13K Views
Wadau, nimefanya 'desk research' na sijaingia kwa kina but kwa analysis niliyofanya nimebaini hii siri ya shule au vyuo kufaulisha/ kufelisha. Shule zilizoitwa kwa majina ya watu ambao walikuwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar wana jamvi. Ni kwel system ya TCU inaweza kukuchagulia kozi ambayo hata hujaiomba kwa wale walioandikiwa PROCESSED SUCCESSFUL. YOU HAVE BEEN SELECTED?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
salut wadau nilikua naomba kuuliza kama hii koz inasoko na ajira kwa wale wanayo ifahamu pia kama inaugumu wowote....
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarin wanaJF. Mwenzenu nimechaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu(diploma) katika chuo cha Mpwapwa lakini kutokana na kupanda kwa ada naona kama ndoto ya kusoma inapotea kutokana na hali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom