Hawa jamaa NACTE kwa kweli wangefanya kama TCU kuandika assurence za selection kuliko kunyamaza tu kama sasa wanatuweka Roho juu watu wa Equiualent, Maana profile zipo vile2 wameongeza muda mpaka...
kwa kifupi tu,kwa nini mtu anadanganya au anatoa taarifa isiyo sahihi?
Ni faida gani mtu anayoipata anapotudanganya kuwa tcu wametoa majina ya vyuo tulivyochaguliwa?
ninaamini wote tuliopo humu...
ikiwa umechaguliwa kuja kuanza chuo jijini mwanza na huna mwenyeji sisi tupo kwa ajili ya kukupokea kukupatia maradhi kukuonyesha chuo chako na kukutafutia sehemu nzuri ya kukaa
lengo...
Club Foot ni nini?
Hii ni aina ya ulemavu utokanao na matatizo ya mifupa ambapo kunakuwa na mkao usio wa kawaida wa unyayo wa mguu (unusual position of the foot).
Dalili za kuwa na club Foot
1...
Miongoni mwa habari ambazo si wengi tunapenda kusikia ni kuhusu ulemavu na athali zake. Lakini leo napenda ujifunze kitu; kila jambo ulionapo linasisitizwa sana watu wajue athari na namna ya...
Kwa kweli ndugu zangu mimi nimekosa mwelekeo wa maisha kwa sasa . Sasa nimeamua nichukue hii degree naombeni ushauri wenu hasa katika upatikanaji wa ajira
Msaada kwa anayekifaham hichi chuo coz nimeomba second around bachelor of science in chemistry.. hata hivyo imebibid biombe tu coz mm nilikuwa cpend lakin tcu wamenifanya niombee na ninajua pale...
Daah, ndugu wanaJF hawa jamaa sasa wamekuwa kiini cha kuharibika kwa ndoto za wanafunz weng hasa hasa watoto wa mama n'tilie pamoja na Wakulima maana sasa watoto weng wamekuwa wakilazmika kujaza...
kwa swali lolote kuhusianA na sokoine university of agriculture (SUA) kwa wale form six waliomaliza mwaka huu na wanategemea kujiunga na chuo hiki.... tafadhali uliza hapa
nianze na mada bodi ya mikopo mda sio mrefu itatoa majina ya wanafunzi walioopata mikopo ili kusomeshwa ktk elimu ya juu yafuatayo ni chaka la mbwa mwitu1.hadi sasa bodi ya mikopo unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.