Oy oy..mwenzenu nilimpatia rafiki yangu my index no ya 4m4 and my username, akanichekia post ya tcu,kwelii wametemaaa yaani post yangu kaiona ,nikamuuliza je na bodi kweny coz yangu umewaona...
kinaitwa chuo kikuu ardhi na sio chuo cha ardhi...kipo adjacent na mliman(udsm) from ubungo njoo darjan kama unaelekea mwenge kuna kituo cha daladala panda gari za chuo then shuka ardhi..or...
kupi panafaa jamani? Msichoke tuelekezeni tu hapa na maana kwamba bora ukae hostel au ukapange kitaa? Kwa nini?
Wakuu Mimi sina experience ya maisha ya boarding shuleni or campus chuoni! Wenye...
Naombeni mniambie kwa wazoefu maana tulifanya application tuka ambiwa umwkuwa selected lakini leo selection zimetoka jina sioni so huwa unakuaje kwa wazoefu yanaendelea kutoka o ??? Ndo hatuja...
Nimeingia kwenye kibox cha application nikakutana kumeandikwa " (CAS) YOU ARE NOT YET APPLIED" but kwenye my profile kila kitu kipo sawa mpaka wameniandikia pale chini kwenye View my selection...
hello jf members nimechagua hii programme ya bachelor of education in psychology sasa mi hata siielewi na hii ni baada ya kuambiwa na Tcu nifanye uchaguzi upya.
Nikishamaliza chuo naweza fanya...
Jamani naomba mnijuze ili niweze kumsaidia dogo wangu. Hivi kwenye hii second round application wale wa kwanza kuomba ndo wanakua considered kwenye course fulani kwa sababu sikuna kuwa na...
Ndugu, mimi nilimaliza form four 2011, nikapata division iv ya 26, matokeo ni kama ifuatavyo: Physics "C ", Chemistry "C ", Biology "C, "B/ maths "D ", English "F ", Geography "D " na Civics "D...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.