Hivi tufanye nini hasa kwa Wanafunzi ambao huwa wanaboreka sana darasani? Mimi ni mfano hai wakati niko shule na ni ngazi zote kuanzia Shule ya msingi mpaka Sekondari nilikuwa naboreka sana...
Habari zenu wanajamvi.
Katika kuhangaika na second application nimeangukia fani hiyo na kuandikiwa umechaguliwa. Vip wadau wa hiyo kitu ipoje kwa ujumla wake?
Sent from my BlackBerry 9900 using...
Nawasalimu Umofya kwenu? Ninapenda kujiunga na kozi tajwa hapo juu evening class kwa hiyo nahitaji kujua yafuatayo.
1) masomo yanaanza na kuisha muda gani
2) ni siku ngapi ndani ya week kuna...
Habari za ahsubuhi wana JF,mm ni muhitimu wa kidato cha 6-2014 niliye kwenye mchakato wa admission.
Naombeni kujuzwa japo kwa makadirio tu tarehe ya kuripoti chuo kwa undergraduate N:B kama...
Kwa habari ya uhakika tuliyopewa na mmoja kati ya wakurugenzi wa elimu pale wizara ya elimu makao makuu yaliyopo pale Magogoni mkabala na ikulu Dar es salaam.
Ni kwamba wizara haitochukua watu...
Wakuu Salaam
Naomba kuuliza hivi sisi tuliojaza kupitia equivalent wameshaanza kutoa selection? na kuna second kama hawa wadogo zetu sixliver?
Naomba kujuzwa.
Maana nimeingia kwnye profile...
Habarini wakuu, mimi ni mmoja wa wahanga wa hii second round application sasa katika option za kuapply mara ya pili nimeiona hii na kidogo imenivutia mana lengo langu hasa ni kuhudumu katika...
TANZANIA Communications Regulatory Authority (TCRA) will finance three projects to be carried out by two universities after signing a Memorandum of Understanding (MoU).
The two higher...
Hivi kozi ya bachelor of science in chemistry inahusika na nini hasa? i mean graduate anafanya kazi katika maeneo gani? pia accessibility yake katika suala la ajira ikoje? karibuni tuelimishane wakuu.
Samahani wana jumvi kunarafikiangu anataka aje tarehe 16 nimsadie kufanya application ya second round, japo anafahamu kuwa akichelewa ndivyo hivyo atakuta zile course nzuri zimejaa but she do'nt...
Kama kuna mtu anasoma SUZA Zanzibar Naomba msaada wako tafadhari,
Naomba unisaidie kupata namba ya mtawala yeyote wa pale anae husika pale au kama una ndugu ako anasoma pale naombeni mnisaidie...
heys..jamani kama ulisoma economics udsm na mwenye upper second please peleka cv, application letter na matokeo pale career center udbs. Wanahitjiak ten pipo wa ajira na 40. Pipo wa internship...
WanaJF nimehitimu kidato cha nne 2013 nimept div III nilikuwa sayansi na nimefaulu hvyo vpnd nikawa nimeomba
wizarani kujiunga na mafunzo maalum ya ualimu tarajali ngazi ya stashahada masomo ya...
Mimi nilifanya application nikafanikiwa kwenye ile first round, sasa asubuhi hii na mapema nimepata sms kutoka CRB but imekuja incomplete hapo mwishoni wamenipa namba zao za mawasiliano. Swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.