Ndugu zangu wana MMU,
Naomba mnisaidie jambo ambalo limenikwaza kidogo. Ngoja nijaribu kueleza mambo yalivyonibana.
Tuchukulie kwamba wewe ni mwalimu ambaye unafundisha wanafunzi ambao ni walimu...
UDSM wataanza kufundisha Kozi za lugha ya kichina mwaka wa masomo 2014/2015 ,,, cozi ni za option, unasoma hata kama unasoma cozi nyingine yeoyote.
Muda ni asubuhi na jioni scholarship za masters...
Wizara ya elimu na mafunzo ilitoa tangazo lakini cha kusikitisha had leo hawajatoa majibu.
Inahusu kusoma advance na diploma miaka mitatu 3. Mwenye tetesi naomba anijulishe maana naona...
Mie ni mwanafunzi Wa mwaka Wa tatu. BSC Nutrition. ninahitaji msaada Wa jinsi ya kuandika dissertation. Title yake ni Nutritional status of children in Africa,special reference to Burundi
Msaada unatakiwa jinsi ya kuandika dissertation ya Nutrition. Elimu ni Bsc Nutrition. Title ni Nutritional status of children in Africa, special reference to Burundi. Je nitaiandaa vipi?
Habari wadau, hivi kama nimekosa mkopo nikaamua mwaka wakwanza kujilipia mwenyewe chuo.
Je nikiwa mwaka wapili afu nikiomba tena naweza nikapata
Kwa facult ya education,
Kwa yeyote mwenyenayo anisaidie ili nijue vitu vinavyotakiwa nimuandalie mdogo wangu anaenda pale.Ama kama unafahamu vyote vinavyotakiwa anitajie please!
Wapendwa nwasalim! Igweeee.
Wakuu nina mdogo wangu ambae alikuwa anasoma UDOM kwa baati mbaya kuna matatizo yalitokea katika familia yetu na ivyo alishindwa kufanya supplementary exams na...
Naomba mwenye kujua zaidi Chuo cha Ualimu Marangu kiko wapi na mahitaji ya muhimu ya kwenda nayo.
Nimechaguliwa stashahada ya ualimu shule za msingi. Mwenye kujua kuripoti tarehe ngapi...
Nashindwa kuelewa kwa nini UDOM wameamua kupandisha gharama za direct cost kutoka 239000 hadi 410000 kwa wanafunzi wanaondelea except college of health science amnbao wenyewe wamepandishiwa hadi...
great thinkers kuna mdogo wangu amesomea sangiti na kachaguliwa kidato cha tano bwiru girls high school tatizo jinsi ya kupata join instruction imeshindikana!
mwenye kunisaidia link yao au...
Habari wanaJF leo nimejitokeza kuomba ufafanuzi juu ya mahusiano yaliyopo kati ya GPA na urahisi wa kupata kazi.
1-Kuna tetesi kwamba mtu mwenye GPA kubwa anakuwa na advantage kuliko mwenye GPA...
Nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaoanza mitihani yao ya kumaliza Shule ya Msingi kesho na kumaliza kesho kutwa. Mwenyezi Mungu awatangulie wadogo zetu ambao wako kwenye...
Naitwa Williard Maimu, ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Mzumbe Morogoro.
Nilipoteza vyeti vya kidato cha nne, sita, diploma na cheti cha kuzaliwa. Naombeni msaada nawezaje kuvipata.
0714460301
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.